Home GENERAL Acha Nilewe Lyrics – Rj The Dj Ft Meja Kunta – New Song 2020

Acha Nilewe Lyrics – Rj The Dj Ft Meja Kunta – New Song 2020

by Louis
Published: Last Updated on
Acha Nilewe Lyrics

Acha Nilewe Lyrics – Rj The Dj Ft Meja Kunta – Download Mp3 Audio

Verse One

Aaah aah aah aah
Aaah aah aah aah

Jamani oooh mama, mapenzi
Oooh jamani, mapenzi
Jamani oooh mama, mapenzi
Oooh jamani, mapenzi

Mi maisha yangu naogopa mbuzi aning’ate
Nikikwama kwenye kio
Mi life langu naogopa chula ya kisasa
Nikizama ntakwashiakor

Sa niwache nilewe tu
Acha nilewe kwa faida
Acha nipombeke tu
Na hivi kwanini penzi linipe shida

Meja niache nilewe tu
Acha nilewe kwa faida
Acha nipombeke tu
Na hivi kwanini penzi linipe shida

Verse Two

Salome usinione fala
Meja kusema bora kusema niwe Marioo
Nilisha chomesha usiku wa manane
Nikapiga simu hallo

Kama ulijali ushemeji
Sa kivipi we ukamrushe kibeach boy
Japo ashatupa vichenji we unagonga
Unavimba mi sikohoi

Mi ashanishinda bora nikuachia
Maana mapenzi yanaleta kinyaa
Nong’u inayumba niache niumie
Maana mi ushanikatisha furaha

We si bingwa wa kung’ang’ania
Mbona Mejja nang’ang’ania mama
We si bingwa wa kung’ang’ania
Bado penzi napalilia jamaa

We si bingwa wa kung’ang’ania
Mbona Mejja nang’ang’ania mama
We si bingwa wa kung’ang’ania
Bado penzi napalilia jamaa

Mi maisha yangu naogopa mbuzi aning’ate
Nikikwama kwenye kio
Mi life langu naogopa chula ya kisasa
Nikizama ntakwashiakor

Sa niwache nilewe tu
Acha nilewe kwa faida
Acha nipombeke tu
Na hivi kwanini penzi linipe shida

Meja niache nilewe tu
Acha nilewe kwa faida
Acha nipombeke tu
Na hivi kwanini penzi linipe shida

Verse Three

Mwasolo mi midogo yangu
Mwanangu, chama langu, cafe yangu
Mwasolo mi midogo yangu
Mwanangu, cafe yangu, chama langu

Basi tupige mako, mako, mako
We mako, mako, mako
Wote tupige mako, mako, mako
We mako, mako, mako

Basi tupige mako, mako, mako
We mako, mako, mako

Basi nionyeshe bingoi, we bingoi
We mama bingoi, we bongoi
Wanachezaje bingoi, we bingoi
We mama bingoi, we bongoi

Na kiuno, kiuno, kiuno
Na kiuno, kiuno, kiuno

Rj the Dj all day Baby

Acha Nilewe Lyrics Credit – Rj The Dj and Meja Kunta

ALSO, SING TO – So Sad Lyrics – Young Killer Msodoki – New Song 2020

Related Posts