Contents
Aibu Lyrics – Nandy – Download mp3 Audio
Verse One
Oooh baby
Mwenzako mi nawashwa pabaya
Ki uchokozi
Ukinigusa gusa mie haya
Wetu mtoko
Mihogo bichi koko ooh
Nidekeze kitoto
Kachumbari kwa kiwiko
I wanna be solo
Na unifanye utakavyo
Baby give me some more
Ziteke zangu hisia
I wanna be solo
Na unifanye utakavyo
Baby give me some more
Ziteke zangu hisia
Chorus
Aibu, aibu, aibu, aibu
Aibu, aibu, aibu, aibu
Verse Two
Nawaza imekuaje nimetumbukia
Kina kirefu mbele sioni
Sholole chumbani umenitunukia
Unipeleke ngara mtoni
Umerishika idara
Hallo hallo kwako fala oyo oyo
Sina sera oyo oyo, kesho shela
I wanna be solo
Na unifanye utakavyo
Baby give me some more
Ziteke zangu hisia
I wanna be solo
Na unifanye utakavyo
Baby give me some more
Ziteke zangu hisia
Chorus
Aibu, aibu, aibu, aibu Aibu, aibu, aibu, aibu.
Aibu, aibu, aibu, aibu Aibu, aibu, aibu, aibu
Aibu, aibu, aibu, aibu Aibu, aibu, aibu, aibu
Aibu Lyrics Credit – Nandy
ALSO, SING TO – Ninogeshe Lyrics – Nandy – Download Mp3 Audio