Home GENERAL Amini Lyrics – Moji ShortBabaa

Amini Lyrics – Moji ShortBabaa

by Louis
Published: Last Updated on
Amini Lyrics by Moji ShortBabaa

Amini Lyrics by Moji ShortBabaa – Download Mp3 Audio

Mmm mm mm yeah
Hey

Ukifika kwa corner
Ndio mazuri utaona
Na utukufu iwe yake
Ye hawachi wana wake

Ee, hata wakati unapania Aah,
Maisha yako ni pandia aah
Shida zako vamia aah
Amini zaidi mara mia aah

Ee, hata wakati unapania Aah,
Maisha yako ni pandia aah
Shida zako vamia aah
Amini zaidi mara mia aah

Aah aah aah ee amini ee
Aah aah aah ee amini ee

Amini amini eeh eeh
Amini amini eeh eeh

Omba na ulale, mazuri hukuja ngware
Omba na ulale, mazuri hukuja ngware

Ni ngumu ku amini matime eeh
Unaona kama anatake time eeh
Hausongi una marktime eeh
Atakuja na yake time eeh

Nimesoma bibilia na nimeona
Wanao mu amini anawaona eeh
Na nimesoma bibilia na nimeona
Wanao mu amini anawaona eeh

Amini amini eeh eeh
Amini amini eeh eeh

Omba na ulale, mazuri hukuja ngware
Omba na ulale, mazuri hukuja ngware

Amini amini eeh eeh
Amini amini eeh eeh

Omba na ulale, mazuri hukuja ngware
Omba na ulale, mazuri hukuja ngware

Ooouu ooouu ooouu
Wanao mu amini hawaaibiki milele
Wanao mu amini hawaaibiki milele
Ooouu ooouu ooouu

Amini Lyrics by Moji ShortBabaa

ALSO, SING TO – Corona Lyrics by Jimmy Gait aka Mr. Favour

Related Posts