Home GENERAL Ate Lyrics – Mbosso – New Song Dec 2019

Ate Lyrics – Mbosso – New Song Dec 2019

by Louis
Ate Lyrics mbosso

Contents

Ate Lyrics – Mbosso

Ate Lyrics Mbosso Verse One

Nataka Noga na Wewe
Nikufunze Mapenzi
Mwenzako nayajua

Nataka Sema Nawe
Nikufunze Penzi Mimi
Ninalijuaaaa

Niipe nikubembeleze
Kama mtoto mng’aro
Kwa raha zako
Ujinenepeee

Nikushikee pendo lisiteleze
Likagarara wabaya macho
Wasisongeleee

Twende Zanzibari,
Comoro Mombasa
Tucheze zumari,
Ndombolo chakacha

Nikupe Michezo hatari
Uzidi takata
Tuwe  ng’ari ng’ari
Dangote Tanasha

Chorus

Kama kikobwa nitalala chumvi
Ate Ate Ate Ate
Vimboga mboga sangala huduvi
Ate Ate Ate Ate

Eehh, iiiiyaaa naiiiyaa
Ate Ate Ate Ate
Iiiiyaaa naiiiyaa
Ate Ate Ate Ate

Verse Two Ate Lyrics

Mmmmmhhh, mmmmmhhh,
Mmmmhh

Mimi daktari
Daktari wa Mapenzi
Dozi yangu temethali inatibu
Nakueenzi

Yangu tamu tamu
Bila kuchanjia
Chachu kwa Kudambulia
Swafi kwa kuitumia
Ni salama

Kama Babu kamu katafunia
Dafu kwa kusukumia
Mmmh cha Kurumagia
Kinyamaa

Penzi liogelee Kibalii salama
Selele ya sele
Tuelee mioyo isiende mrama
Selele ya sele

Kule kujisosomoa nyama nyama za shawarma
Selele ya sele
Oooh Habibi selelea

Twende Zanzibari,
Comoro Mombasa
Tucheze zumari,
Ndombolo chakacha

Nikupe Michezo hatari
Uzidi takata
Tuwe  ng’ari ng’ari
Dangote Tanasha

ALSO, SING TO Shery Coco Lyrics – Abdukiba ft Gnako

Chorus

Kama kikobwa nitalala chumvi
Ate Ate Ate Ate
Vimboga mboga sangala huduvi
Ate Ate Ate Ate

Eehh, iiiiyaaa naiiiyaa
Ate Ate Ate Ate
Iiiiyaaa naiiiyaa
Ate Ate Ate Ate

Ending Verse

Jama mwali kang’ang’ania, anaitaka
Anaililia, anaitaka
Ooh Kashikilia, anaitaka
Nimpe yote yote

Yaani mzima mzima, anaitaka
Ooh kulamba lamba, anaitaka
Chokoleti ya maziwa, anaitaka
Yote yote

Credit

MBOSSO

Related Posts