Contents
Ayeye Lyrics – Linex Sunday Mjeda
Ayeye Lyrics Verse One
Usivunjike moyo haya majina tu yanapita
Kuna life after fame
Huna haja ya kunikataa
Tuianze safari nitakula kiapo
Cha utiifu na ukweli, Ayeye, eeeh
Natamani niwe nawe, milele
Natamani mbingu na ardhi
Ziwe shaidi wangu mie
Sio kwamba nakuomba ndoa
Kwa sababu umri wangu unakwenda
Nimeshakwepa mishale mingi
Ndio maana wazi nasema nakupenda, yeyeye
Nimeoneeshwa, nimeoteshwa
Kuna kesho nasali kuniombea mema
Nimeoneeshwa, nimeoteshwa
Kuna kesho nasali kuniombea mema
Hello, beautiful It’s you I’ve been looking for, ooh
Chorus
Nikifaulu maisha
Baby uwe nyuma yangu, Ayeye yee
Kwenye misango ya mawazo, aaaaa aaahh
Nisiwe peke yangu, Ayeye yee
Verse Two
Nisiwe jeshi la mtu mmoja
Nikishiba nimsahau Mwenyeza, Ayeye yee
Maisha ni ya mafupi
Twende wakati wetu tukawe sabakina, Ah ah ah
Kuja niwe na mfetu Uwe na mfetu, Ah ah ah Uwe na mfetu
Natamani niwe nawe, milele
Natamani mbingu na ardhi
Ziwe shaidi wangu mie
Sio kwamba nakuomba ndoa
Kwa sababu umri wangu unakwenda
Nimeshakwepa mishale mingi
Ndio maana wazi nasema nakupenda, yeyeye
Nimeoneeshwa, nimeoteshwa
Kuna kesho nasali kuniombea mema
Nimeoneeshwa, nimeoteshwa
Kuna kesho nasali kuniombea mema
Hello, beautiful It’s you I’ve been looking for, ooh
Credit: Linex Sunday Mjeda
SING ALSO TO: Why Now Lyrics – Navy Kenzo – New Song 2020