Contents
Bao Lyrics – Kassim Mganga – Download mp3 audio
Verse One
Sokota, sokota
nakupatia mkongo
Hii nyama kidogo do
Sinanga mechi za dondo
Ukila dondo usongo
Si chururu chuku chuku
Si ndururu za kasuku
Natikisa nyavu
Nimefall in love to you you you
My show I love you baby,
Nakuzimia
My show I love you baby
Chorus
Lamba ugoko, Bao
Kushuti, Bao
Kwa kichwa, Bao
Lamba ugoko, Bao
Kushuti, Bao
Kwa kichwa, Bao
Verse Two
Nimesanuka maseke
Wanafukuzia vicheche
Napiga goti navisha pete
Umechanua chanu mtende
Bolizo bolizozo
Natetema
Bolingo ya solo, Natetema
Natikisa nyavu
Nimefall in love to you you
My show I love you baby,
Nakuzimia
My show I love you baby
Chorus
Lamba ugoko, Bao
Kushuti, Bao
Kwa kichwa, Bao
Lamba ugoko, Bao
Kushuti, Bao
Kwa kichwa, Bao
Verse Three
Kagere na kipa, Bao
Msuva zungusha, Bao
Samatta!, Bao
Bao! Bao! Bao!
Lamba ugoko, Bao
Kushuti, Bao
Kwa kichwa, Bao
Lamba ugoko, Bao
Kushuti, Bao
Kwa kichwa, Bao
Bao Lyrics Credit – Kassim Mganga
ALSO, SING TO – Superwoman Lyrics – Tanzanian Women All-Stars – 2020