Contents
Buku Remix Lyrics – Whozu Ft Director Shaibu – Download Mp3 Audio
Verse One
Too much money
Vipi Boss
Niaje msure
Hauna Buku hapo, Sina
Vipi Boss
Niaje msure
Hauna Buku hapo
We unayo? Sina
Jero je
Unayo? Sina
Mia mbili je
We unayo? Sina
Verse Two
Jamani dori dori, Samwela
Dori dori, Samwela
Buku ninalo na sikupi
Hupati ata mia
Dori dori Samwela
Dori dori, Samwela
Jero ninalo na sikupi
Ukitaka we lia
Aya mtoto huyo mtoto huyo
Kavua jeans kavaa dera
Mtoto huyo mtoto huyo
Kavua jeans kavaa dera
Aya mtoto huyo mtoto huyo
Kavua jeans kavaa dera
Mtoto huyo mtoto huyo
Kavua jeans kavaa dera
Tonny drips shika kwanza shika kwanza
Nasemaje kanzu mpya ustadhi yule yule
Fungasha virago tuondoke
Aya tunaondoka aya twende
Tunaondoka aya twende
Aya tunaondoka aya twende
Tunaondoka aya twende
Aya tunaondoka aya twende
Tunaondoka aya twende
Aya tunaondoka aya twende
Tunaondoka aya twende
Kombwe kombweko, Cheza
Aya kwenkere, cheza
Kombwe kombweko, Cheza
Aya kwenkere, cheza
Kombwe kombweko, Cheza
Aya kwenke kere, cheza
Kombwe kombweko, Cheza
Aya kwenke kere, cheza
Chorus
Vipi Boss
Niaje msure
Hauna Buku hapo, Sina
Vipi Boss
Niaje msure
Hauna Buku hapo
Sina
Jero je
Sina
Mia mbili je
Sina
Verse Three
Piri piri hoho
Ka karoti
Piri tikiti
Go gogo
Matangoma tango we, Matangoma tango rinyanya
Matangoma tango we, Matangoma tango rinyanya
Vipi Boss
Niaje msure
Hauna Buku hapo, Sina
Vipi Boss
Niaje msure
Hauna Buku hapo
Kama una
pipipi piga,
Kama una
pipipi kizinga
Kama una
pipipi pika,
Kama una
Pipipi kizinga
Kama una pi
Piga
Kama una pi
Piga
Kama una pi
Piga
Kama una pi pi
Piga
Kama unapiga piga
Kama una pi piga
Aya tunaondoka aya twende
Tunaondoka aya twende
Aya tunaondoka aya twende
Tunaondoka aya twende
Aya tunaondoka aya twende
Tunaondoka aya twende
Aya tunaondoka aya twende
Tunaondoka aya twende
Chorus
Vipi Boss
Niaje msure
Hauna Buku hapo, Sina
Vipi Boss
Niaje msure
Hauna Buku hapo
Sina
Jero je
Sina
Mia mbili je
Sina
Buku Remix Lyrics Credit – Whozu and Director Shaibu
ALSO, SING TO – Nilikudanganya Lyrics – Kusah – New Song 2020