Contents
Bwana wa Mabwana Lyrics by Zzero Sufuri – Download Mp3 Audio
Apewe Sifa Apewe Sifa
Apewe Sifa
Bwana wa mabwana leo ainuliwe
Bwana wa mabwana leo ainuliwe
Yeah yeah yeah
Bwana wa mabwana leo ainuliwe
Bwana wa mabwana leo ainuliwe
Verse One
Cheki mi kanitoa juu ya dhambi
Arogoshwe mwathani
Kunifikisha mahali singedhani
Akaniandalia sahani
Wakati kwangu haipatikani
Na bado akujenge we jirani
Kwangu hali ni ghali
Sinanga biz mi hupiga biz
Nipate tu ganji
Ngori ni mob sir God
Na bado mahitaji
Upate hadi umewekelewa
Lawama juu ya mshikaji
No wonder at times
Unajiuliza kwani ni aje
Baba ninakupenda
Asante sana baba
Mwokozi wangu
Maana mimi
Mimi sitaona haya
Kusema wewe wangu
Na mimi wako
Baba mi nakupenda sana
Nisaidie nisaidie baba
Chorus
Bwana wa mabwana leo ainuliwe
Bwana wa mabwana leo ainuliwe
Yeah yeah yeah
Bwana wa mabwana leo ainuliwe
Bwana wa mabwana leo ainuliwe
Verse Two
Naweza piga look safi kienda church but
Doo sina doo sina na hizo vitu hufai kunijudge
Na bado we sina we sina
Sa chunga vile unasema mshene ukipewa
Kumbuka si mtu pia anaga hewa
Usiishi nika ni jela freedom umepewa
Tenda wema nenda zako si ivo ndo walisema
Baba mi nakupenda sana
Nisaidie nisaidie baba
Chorus
Bwana wa mabwana leo ainuliwe
Bwana wa mabwana leo ainuliwe
Yeah yeah yeah
Bwana wa mabwana leo ainuliwe
Bwana wa mabwana leo ainuliwe
Verse Three
Nitamuimbia nani Nitamuimbia Yesu
Nitamuimbia nani Nitamuimbia Yesu
Naweza piga look safi kienda church but
Doo sina doo sina na hizo vitu hufai kunijudge
Na bado we sina we sina
Sa chunga vile unasema mshene ukipewa
Kumbuka si mtu pia anaga hewa
Usiishi nika ni jela freedom umepewa
Tenda wema nenda zako si ivo ndo walisema
Chorus
Bwana wa mabwana leo ainuliwe
Bwana wa mabwana leo ainuliwe
Yeah yeah yeah
Bwana wa mabwana leo ainuliwe
Bwana wa mabwana
leo ainuliwe
Bwana wa Mabwana Lyrics by Zzero Sufuri
ALSO, SING TO – El Shaddai Lyrics – H Art The Band Ft Cedo