Contents
Chapa Lyrics – Kelechi Africana
Verse One
Whine your booty
Girl show me now ( chapa)
Where you got that fine digida
See my life now am falling for you (chapa)
Leo nahi (chapa)
Katika, baby show me what your moma gave you
Chini mbili mwanga kandoo
Zungusha ching’ing’ini mpwa wa pweza
Sungura nikupe karoti
He he he samba loketo
Mi nakakata chini pangala mawayo
Na kiuno Legele kama mobetto
Hakajui kununa ha kababy face
Akiniona Be be be kanataka pigo
Mi nakapandisha ka hushushi mzigo yaani
He he he ni ngoma nzito
Ila bora sitahiooooo
Weka niwekeze weka niweke, Weka niwekeze weka niweke
Weka niwekeze weka niweke , Weka niwekeze weka niweke
Verse Two – Chapa Lyrics – Kelechi Africana
Bad gyal with a pretty gal poze
She wanna kill me toni toni tonight
Kamezima taa kako closer
Ooh I do know what is happening
I have been waiting for this for a long time
Baby wacha uoga
Let me show you what I can do
What I can feel baby what I can feele
He he he samba loketo
Mi nakakata chini pangala mawayo
Na kiuno Legele kama mobetto
Hakajui kununa ha kababy face
Akiniona Be be be kanataka pigo
Mi nakapandisha ka hushushi mzigo yaani
He he he ni ngoma nzito
Ila bora sitahiooooo
Weka niwekeze weka niweke, Weka niwekeze weka niweke
Weka niwekeze weka niweke , Weka niwekeze weka niweke
Verse Three – Chapa Lyrics – Kelechi Africana
Kachiri kachiri saga, Kachiri beiby kachiri saga
Kachiri kachiri saga, Kachiri hei saga
Mpaka seducy kafiri saga
You know you make me loose my mind saga
Ongezea matimbwizi saga
Ooh na na na na saga
Weka niwekeze weka niweke, Weka niwekeze weka niweke
Weka niwekeze weka niweke , Weka niwekeze weka niweke
ALSO, SING TO Wajinga Nyinyi Lyrics – Xymo Mshairi – New Song 2019