Home GENERAL Coroma Lyrics – Zzero Sufuri

Coroma Lyrics – Zzero Sufuri

by Louis
Coroma Lyrics

Coroma Lyrics by Zzero Sufuri – Download Mp3 Audio

Inaleta hasara, imeharibu biashara
Jo ina ufala, ina ufala
Eeh mahali imefika ni bidii
Tuendelee na kung’ang’ana, eeh sawa sawa

Cheki ati Coroma imefika
Coroma inaskika Coroma
Hauskii ni kila mtu inaweza shika
Coroma ni blunder, coroma inamada
Eeh unafaa kusanitize kabla haujamanga

Coroma ni woooo, na inaleta eeeh
Coroma ni woooo, na inaleta eeeh

Kuingia kejani round hii ni saa ya kuku
Kabla haijafika usiku
Coroma iko huku na huku
Design hadi kipofu itabidi ameiona

Hauskii Coroma ikikushika hadi huwezi choma
Vaccine blunder bado haijapatikana
Vaccine blunder labda mikono kunawa

Niko na swali nikuulize daktari Rona, Niulize
Coroma hushikaga watu wanachoma?
Coroma ni ka ilikufa ikafufuka
Imerudi ni ka ni msee bndio inatafuta eeh

Coroma ni woooo, na inaleta eeeh
Coroma ni woooo, na inaleta eeeh

Cheki Coroma ni kila mahali hadi kwa gazeti
Coroma unaweza isearch hadi mneti
Follow, like, subscribe na ucommenti
Mahali imefika wengine wakiji-isolate

Na bado nakumbuka kuna hour
Ukilegeza uchelewe si mtapatana
Usiku usiku mandugu wako na marungu
Marungu rungu ukipigwa unabaki nduru

So itabidi kameshikia home
Ka unataka kujinyc morio stay at home
Alafu ka unataka kuepukana coroma
Unapendaga ma ‘sshh’ sanasana kuchoma
Ikuwe ni shash ama ‘Sssh’ dodoma
Itabidi uregulate ju imebakia shash ni moja

Haiwezekani si tukule pamoja
Na kuna vile naskia
Imesambaa hii ugonjwa

Woooo eeeh, Woooo eeeh
Woooo eeeh, Woooo eeeh

Kama sos mi ndio sos
Mi ndio boss, mi ndio world boss

Coroma Lyrics by Zzero Sufuri

ALSO, SING TO – Glory Lyrics – Nyashinski

Related Posts