Home GENERAL Corona Lyrics – Beka Flavour

Corona Lyrics – Beka Flavour

by Louis
Published: Last Updated on
Corona Lyrics by Beka Flavour

Corona Lyrics by Beka Flavour – Download Mp3 Audio

Verse One

Hili gonjwa ni hatari na tena linaua Ua
Ni tishio duniani nani asiyejua Jua
Kusema za ukweli Corona ni pigo
Mpaka sasa dawa haijulikani bado
Tujilinde wenyewe kwa hili tatizo
Uuwoo

Tusipeane mikono chonde chonde
Safari zisomuhimu tusiende
Tuvae mask chafia tuzikinge
Ndio kinga mbadala

Mabusu kupigana vyama tusipende
Ili tusiambukizane tujikinge
Mpaka gonjwa hili lipite
Tuombe mungu atunusuru kwa hili

Chorus

Tusichukulie tu poa poa
Corona gonjwa hatari
Watu wanakwisha
Nchi zote duniani

Tusichukulie tu poa poa
Corona gonjwa hatari
Watu wanakufa eh
Nchi zote duniani

Verse Two

Na serikali inatupenda ndio maana wamezifunga shule
Mikutano ya kisiasa yote wameitupa kule
Na matamasha wasanii hakuna kule
Wangeruhusu yaani ingekuwa sawasawa na bure

Tunawe mikono kwa maji safi salama
Sanitizer nyumbani No kukosekana
Salamu mbali mbali No Kugusana
Aaaa aaaaaaah

Tusipeane mikono chonde chonde
Safari zisomuhimu tusiende
Tuvae mask chafia tuzikinge
Ndio kinga mbadala

Mabusu kupigana vyama tusipende
Ili tusiambukizane tujikinge
Mpaka gonjwa hili lipite
Tuombe mungu atunusuru kwa hili

Chorus

Tusichukulie tu poa poa
Corona gonjwa hatari
Watu wanakwisha
Nchi zote duniani

Tusichukulie tu poa poa
Corona gonjwa hatari
Watu wanakufa eh
Nchi zote duniani

Verse Three

Bado tunakuomba Mungu baba
Utunusuru na hili janga
Rais wetu Magufuli baba
Umnusuru na hili janga

Bado tunakuomba Mungu baba
Utunusuru na hili janga
Ommy mwalimu ooh Mama
Umnusuru na hili janga

Bado mi nakuomba Mungu baba
Uninusuru na hili janga
Mwanangu Ariani
Umnusuru na hili janga

Ooh Tanzania Utunusuru na hili janga

Corona Lyrics by Beka Flavour

ALSO, SING TO – Mama Lyrics – Harmonize

Related Posts