Home GENERAL Corona Lyrics – Rayvanny – Magufuli

Corona Lyrics – Rayvanny – Magufuli

by Louis
Published: Last Updated on
Corona Lyrics

Corona Lyrics – Corona by Rayvanny – Download mp3 audio

Corona, corona, corona

Wote tumuombe Mungu kwa hili janga
Ikibidi lipite
Tujihadhari na tujikinge
Ili lisitufike

Habari kote duniani zimesambaa
Ugonjwa unaua na hauna tiba
Na wengi wetu masikini hatujiwezi
Mwenyezi Mungu kawe tiba

Watoto wetu mashule, aah
Mama zetu sokoni, aah
Kwenye vyombo vya usafiri
Makazini tujilindee

Osha mikono
Epuka mikusanyiko sio ya lazima
Na uonapo dalili
Mapema wahi hosipitali

Corona, corona, corona
Corona, corona, corona
Corona, corona, corona
Corona, corona, corona

Tanzania hatuwezi tukajiweka pembeni
Bila kuchukua hatua
Hatua zimeshaanza kuchukuliwa
Waziri wa wizara ya afya ameshazungumza

Ameshatoa tahadhari mbali mbali
Ambazo tunatakiwa kuzichukua
Napenda nirudie ndugu zangu watanzania
Kwamba ni vizuri sana tukaendelea
Kuchukua tahadhari kwa nguvu zote

Ugonjwa huu unaua
Na unaua kwa haraka sana
Tuwaombe ndugu zetu watanzania
Tusipuuze ugonjwa huu
Tusipuuze hata kidogo

Ni lazima tuanze kuchukuwa hatua
Za kujikinga na tatizo hili

Corona Lyrics

ALSO, SING TO – Sinaga Swagger 4 Lyrics – Young Killer Msodoki – New Song

You may also like