Home GENERAL Coronavirus Kolona Lyrics by DannyP Mboka New Song

Coronavirus Kolona Lyrics by DannyP Mboka New Song

by Louis
Published: Last Updated on
Coronavirus Kolona Lyrics

Coronavirus Kolona Lyrics by DannyP Mboka – Download Mp3 Audio

Oooh Coronavirus
Shindwe kabisa
Katika jina la Yesu
Amina

Ooh tunalia kwa sababu ya kolona
Virus mbaya sana ambayo haina dawa
Iii tunalia kwa sababu ya kolona
Aaah Mungu Baba tuepushe na kolona

Ilianza huko China imeua watu wengi
Na sasa inasambaa dunia nzima yaogopa
Ilianza huko China imeua watu wengi
Na sasa inasambaa dunia nzima yaogopa

Hatari kuliko Cancer, hatari kuliko Ukimwi
Hatari kuliko mwaki,
Kolona inatisha
Hatari kuliko Cancer, hatari kuliko Ukimwi
Hatari kuliko mwaki,
kolona inatisha

Ooh tunalia kwa sababu ya kolona
Virus mbaya sana ambayo haina dawa
Iii tunalia kwa sababu ya kolona
Aaah Mungu Baba tuepushe na kolona

Rais wetu Kenya wakenya tunaomba
Usiruhusu hao wa China waingie hapa Kenya
Hata kama ni madeni waambie tutalipa
Usalama wetu kwanza biashara ni baadae

Rais wetu Kenya wakenya tunaomba
Usiruhusu hao wa China waingie hapa Kenya
Hata kama ni madeni waambie tutalipa
Usalama wetu kwanza biashara ni baadae

Ooh tunalia kwa sababu ya kolona
Virus mbaya sana ambayo haina dawa
Iii tunalia kwa sababu ya kolona
Aaah Mungu Baba tuepushe na kolona

Wakenya tuombeni Mungu atulinde
Wakristo tuombeni Corona itashindwa
Waislamu tuombeni Mungu atulinde
Dini zote tuombeni Corona itashindwa

Corona haijui tajiri Mungu atulinde
Corona haijui masikini Corona itashindwa
Hatari kuliko ukimwi Mungu atulinde
Hatari kuliko cancer Corona itashindwa

Inatisha mpaka Uropa
Mungu atulinde
Inatisha Marekani
Corona itashindwa
Inatisha Africa nzima
Mungu atulinde
Serikali itulinde
Corona itashindwa

Ilinde mipaka yetu
Mungu atulinde
Na Mungu tusaidie
Corona itashindwa

Mungu Baba wewe ndio tegemeo letu
Na tuna imani kwamba utatulinda
Na Corona haitaweza kutufikia
Amina

Coronavirus Kolona Lyrics by DannyP Mboka

ALSO, SING TO – Pepo Lyrics – Masauti Ft Exray – New Song 2020

You may also like