Dozi Lyrics Nandy.
Yaani tushawaloga
Waloshika manyanga
Si walitaka poda na chale wakachanja
Na kwenye videnge udaaku
Kwa madoti ya kanga
Nawatupa kwenye uchafu
Kama ganda la karanga
Oh yayee, imegeuka shillingi wanalia ????
Wameyamwaga
Walizani magimbi kumbe beer ????
Wameyavaga
So wapaka wino ???? machino
Wenyewe wamechimba shimo
Moja jino ???? kwa kisigino
Wamemwaga tela nawazidi kimo
Kukukeng kukukeng kuku keng keng
Oh yeah hatucheki na Desi
Kukukeng kukukeng kuku keng keng
Ni mwendo ???? wa dozi
Kukukeng kukukeng kuku keng keng
Kama wagonjwa ???? nawapa ulezi
Kukukeng kukukeng kuku keng keng
Oh yeah hatuwabembelezi
Nikimake navimba kibaharia
Kamba kwa buti nakazia
Ukipiga kunuti napangua
Ukubwa wa show wanakaliwa
Naitekenya te te
Wakipangua che che
Miluzi makeke
Mteja na kete
Saluti, Kuruti
Katekenya kacheka ka nyuti
Bunduki, baruti
Utapepea ka parachuti ????
So wapaka wino ???? machino
Wenyewe wamechimba shimo
Moja jino ???? kwa kisigino
Wamemwaga tela nawazidi kimo
Kukukeng kukukeng kuku keng keng
Oh yeah hatucheki na Desi
Kukukeng kukukeng kuku keng keng
Ni mwendo ???? wa dozi
Kukukeng kukukeng kuku keng keng
Kama wagonjwa ???? nawapa ulezi
Kukukeng kukukeng kuku keng keng
Oh yeah hatuwabembelezi
Dozi Lyrics Nandy – Download Mp3 Audio