Contents
FORE Forever Lyrics – Nviiri the Storyteller
FORE Forever Lyrics Verse One
Najua IG requests
Ni kila mara
I see them turning
Kwa bara bara
Nikisema Niko sawa
I’d be a liar
Na Maua wanakutumia
Ata nikiwa nawe
Hawa ni watu
Hawana haya
Vile wanakufuata
Si wangefuata messiah
Wakujipendeza ni wengi
Watu wa kununua
Na kuwacha change
Hawa ni watu wangependa
Uwe na deni
Baby usikuwe deni
Love can never be bought
Straight from the heart
It can never be forced
I’ve been there I’ve done it
I’ve seen the results
Now I think that we should hope
Chorus
Penzi yetu iwe forever
Napenda unavyonipendeza
Naomba penzi yetu
Iwe Fore Iwe Fore Iwe Forever
Penzi yetu iwe Fore
Napenda unavyonipendeza
Naomba penzi yetu
Iwe Fore Iwe Fore Iwe Forever
Penzi yetu iwe Forever
FORE Forever Lyrics Verse 2
Roho nimepiga duster
Roho Safi Roho juu
Hadi zifike chini rasta
That’s how long I’ll be with u
Nje kuna mahunters
These are spirits believe me
Don’t let them fill your cup
Don’t let them get you drunk
Drunk drunk
Wakujipendeza ni wengi
Watu wa kununua
Na kuwacha change
Hawa ni watu wangependa
Uwe na deni
Baby usikuwe deni
Love can never be bought
Straight from the heart
It can never be forced
I’ve been there I’ve done it
I’ve seen the results
Now I think that we should hope
Chorus
Penzi yetu iwe forever
Napenda unavyonipendeza
Naomba penzi yetu
Iwe Fore Iwe Fore Iwe Forever
Penzi yetu iwe Fore
Napenda unavyonipendeza
Naomba penzi yetu
Iwe Fore Iwe Fore Iwe Forever
Penzi yetu iwe Forever
FORE Forever Lyrics Verse 3
Have you seen yourself
Ata kivuli chako ni dangerous
Sura innocent
Nothing new to say
That would make you stay
Please stay
But have you seen your face
Ata kivuli chako ni dangerous
Sura innocent
Nothing new to say
That would make you stay
Please stay
Chorus
Penzi yetu iwe forever
Napenda unavyonipendeza
Naomba penzi yetu
Iwe Fore Iwe Fore Iwe Forever
Penzi yetu iwe Fore
Napenda unavyonipendeza
Naomba penzi yetu
Iwe Fore Iwe Fore Iwe Forever
Penzi yetu iwe Forever
ALSO, SING TO Bila Pesa Lyrics – WEEZDOM & PETER BLESSING
Credit