Contents
Hawataki Lyrics – K2ga – Download Mp3 Audio
Verse One
No aha, hey, ah, aah
Usijutie moyo wako
Ju mi ndo chaguo
Nakupenda nakujali
Amini beiby oooh
Unaposikia mabaya yangu sema
Kwamba nakucheat, sikupendi
Nina wanawake wengi sana
Mmmh ooh sana, oooh ooh…
Chorus
Hawataki niwe nawe
Hawapendi niwe nawe
Hawataki niwe nawe
Nawe nawe, nawe nawe, nawe
Hawapendi niwe nawe
Hawataki niwe nawe
Hawapendi niwe na wewe
Nawe nawe, nawe nawe, nawe
Verse Two
Kwanza nakula kiapo uniamini
Uko peke yako kwangu moyoni
Nalinda penzi lako nalithamini
Sasa nunu nunu wanuna nini?
Usiwasikize hao wabaya mummy
Hawapendi toto uwe nami
Uaminifu ndiyo tiba ya mapenzi
Nacho hitaji univumilie lazizi
Babu na bibi walipendana enzi
Kuna vingi walipitia vijingi
Maneno yao usipuuzi
Usiwasikize hao wapuuzi
Wanakata matawi na mizizi
Nia yao waharibu penzi
Aaah penzi, ah aaah penzi
Chorus
Hawataki niwe nawe
Hawapendi niwe nawe
Hawataki niwe nawe
Nawe nawe, nawe nawe, nawe
Hawapendi niwe nawe
Hawataki niwe nawe
Hawapendi niwe na
Nawe na nawe na, nawe
Hawataki Lyrics Credit – K2ga
ALSO, SING TO – Moto Lyrics – Walter Chilambo – New Song 2020