Contents
Hazipo Lyrics – Nandy – Download the Song
Verse One
Yeah aah aah aah aah mmh
Uzuri wako mashallah
Na macho yako ndo balaa
Sauti yako noma sana
Na mwendo wako ndo balaa
Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani
Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani
Chorus
Me hazipo
Hazipo
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipo
Akili me hazipo bwana
Hazipo
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipo
Ayaaah aaaah eeeh yeeee iyeye iyeye
Verse Two
Stimu nyingi kichwani akili zangu baba aaah aaah
Sijitamani nifikirie sana aaaah
Usinipe maruani me moyo utaamaa
Na mashetani yanapenda kwa manaa aaah
Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani
Ni miujiza moto faya uzuri kakupa nani
Unaumiza mambo mbaya nuksi huko nyumbani
Chorus
Me hazipo
Hazipo
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipo
Akili me hazipo bwana
Hazipo
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipo
Verse Three
Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa mapigo
Penzi la supu baba ukieka nazi hatari mzigo
Takuwa sina bahati ukisema hautaki utauwa mapigo
Penzi la supu baba ukieka nazi hatari mzigo
Jaribu kuwa smart nipe mahabati tu japo kidogo
Oooh mie wazimu baba kichwani mwangu mwenzio hazipo
Chorus
Mwenzio mie hazipo
Hazipo
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipo
Akili me hazipo bwana
Hazipo
Kwajili yako mwenzio me hazipo baba
Hazipo
Ooh yeah
Hazipo
ooh yeah
Hazipo
ooh oh wee
Hazipo Lyrics Credit – Nandy
ALSO, SING TO – Pepea Lyrics – Linah – Official Song Lyrics