Contents
I Love You Lyrics – Rayvanny
I Love You – Rayvanny – Verse One
Ilikuwa Safari ndefu
Yenye mateso
Machozi, mizigo vikwazo
Ila yote umenituuwa
Naomba Penzi letu
Lisife Kesho
Ukanipa Pressure mawazooo
Chonde mama utaniuua
Na vile hujui Kununa
Fundi wa Kudeka
Hata sijakutekenya unacheka
Ooh, tambua
Ushaniteka
Hata bila chakula
Nanenepa
My love
Salama nikiwa nawe
Hata kama nina shida Nasahau
Sura kama malaika
Na wala hauringi kwa dharau
Lawama acha nipewe
Nitoke duniani angalau
Kuliko ukanyanyasika
Hilo mpenzi usahau
Mio oh oh,,aaaaaeee
Mi amor,,, aaaaaeee
My love,,,aaaaaeee
Te amo,,,aaaaeeee
I love you
I love you
My baby i love
I love you
I love you , me nakupenda sana
I love you, usi niache mama
I love you, mi ooh
I love you
ALSO, SING TO Mshumaa Lyrics – Alikiba
I Love You Lyrics – Rayvanny – Verse Two
Sura ya Mama
Umbo lawama
Una ya biya miguu
Unanichanganya
Ukiinama
Naangaliaa Tatoo
Nipakulie chakula
Mama sikoomi
Asubuhi, mchana
Mpaka jioni
Mchezo unaijua
Mama msomiii
Pini Kitovu kifua
Na sikioni
Salama nikiwa nawe
Hata kama nina shida Nasahau
Sura kama malaika
Na wala hauringi kwa dharau
Lawama acha nipewe
Nitoke duniani angalau
Kuliko ukanyanyasika
Hilo mpenzi usahau
Mio oh oh,,aaaaaeee
Mi amor,,, aaaaaeee
My love,,,aaaaaeee
Te amo,,,aaaaeeee
I love you
I love you
Baby i love you
I love you
I love you , me nakupenda sana
I love you, nakupenda
Baby I love you, usiniache mama
I love you
Credit: Rayvanny