Home GENERAL Ikijipa Lyrics – Mbogi Genje Ft Rix Roro Ft Dede Tarshian

Ikijipa Lyrics – Mbogi Genje Ft Rix Roro Ft Dede Tarshian

by Louis
Published: Last Updated on
Ikijipa Lyrics

Ikijipa Lyrics – Ikijipa by Mbogi genje

Verse One

Unaweza zitoka zikingwata
Tangu olipo utanipata pon di gutter
Mashashola zimewaka ni mogatha
Na zikikumamba unaeza chain mamorata

Bam bam digi bam bam chikicha
Puff puff nikijam jam shikisha
Bam bam digi bam bam
Puff puff nikijam jam

Form ikijipa hakunauwo kulalisha
Zikishika hakunauwo kusafisha
Kakimouk kananauwo kuthigithwa
Aya bas mbuyu hakunauwo kulalisha

Verse Two

Headbad toka nikuwe mless
Ka ni tapo mi hupatch utadhani ni NFS
Nilichorea mangem tupatane mambadeng
Mashashola ndio vitu kwa mind nafinesse

Diang’a songi nazipiga shifla
Na kikoro njamu mboka la kichizla
Tunatesa na wakoba ni wafisa
Kuwashwisa riang ficha, riang fitsa

Tuko na shang niko na gang
Na mariembes wamemuok wanadai kuziburn
Zilipuke ka vile zinalipuka Iran
Si ziburn hatumind warazi waking’am

Chorus

Bam bam digi bam bam chikicha
Puff puff nikijam jam shikisha
Bam bam digi bam bam
Puff puff nikijam jam

Form ikijipa hakunauwo kulalisha
Zikishika hakunauwo kusafisha
Kakimouk kananauwo kuthigithwa
Aya bas mbuyu hakunauwo kulalisha

Verse Three

Tuko na projo inafaa kuwa mbele
Mbogi Genje kuchachisha sio meme
Mtoto m-wide kama River Kamene
Napiga mpaka analia, tuko matembe
Ngoko tangatanga kaa mamende
Akwende, anajiona amemea pembe

Guzman ndio mwenye wanamwika (Guz)
Na warosho zote wananiwinda (Wanasaka)
Watanauwo Mbogi Genje cha lazima (Watanauwo)
Leta mambo, uone ukipangwa
Rusha diss, tuwache unajishuku
Kaa na mambo, si huwaka kama nare

Chorus

Bam bam digi bam bam chikicha
Puff puff nikijam jam shikisha
Bam bam digi bam bam
Puff puff nikijam jam

Form ikijipa hakunauwo kulalisha
Zikishika hakunauwo kusafisha
Kakimouk kananauwo kuthigithwa
Aya bas mbuyu hakunauwo kulalisha

Verse Four

Mi hu-vibe tu ni kaa niko malego
Mbogi-lise inarieng tu, ni machweng’a
Mausgan zimeliet, ni olipa
Gwethe ya mathao ya salopa

Tuko nditni ni masiwa tu kwa bori
Na majaji wamekwaria mamokish
Kuwadungiz, kuwabambisha na shedi
Na mahaijin wameriet ka warena

Tuko tifin, kila rima ni maroslat
Kuwadoshwe kwa warena
Dabo genje, mi hupiga kama Roro, kama gwethe
Haunauwo safisha, hatunauwo waganis

Chorus

Bam bam digi bam bam chikicha
Puff puff nikijam jam shikisha
Bam bam digi bam bam
Puff puff nikijam jam

Form ikijipa hakunauwo kulalisha
Zikishika hakunauwo kusafisha
Kakimouk kananauwo kuthigithwa
Aya bas mbuyu hakunauwo kulalisha

VK Master, bie gangster
Ah wah do Slambo Dem care an do
Ah wah do Jamie Yu no fi see me

Ikijipa Lyrics

ALSO, SING TO – Kutwangana Lyrics Disco Matanga Parody – Padi Wubonn

Related Posts