Contents
We have written the best kanyaga lyrics below. You will without doubt fall in love with our kanyaga lyrics. Enjoy and remember to come back for more sweet lyrics. We provide the best lyrics.
VERSE ONE
I say kanyaga ka ana pigo za unafiki
Kanyaga kama mbeya sio rafiki
Kanyaga kama fisi ana roho ya usnitch
Hakulishi, hakuvishi kwani vipi (kanyaga)
Wazee wa shobo kudandia (kanyaga)
Club kuomba omba bia (kanyaga)
Slay queens, vibisho vya bandia
Kivipa Hi eti madai vinavimbia (kanyaga)
Uzushi, Kanyaga
Mashemu feki, kanyaga
Nuksi, kanyaga
Kudadadeki, Kanyaga
Mawifi, kanyaga
Mpaka ma ex, kanyaga
Mikosi, kanyaga
Oya kanyaga
ALSO READ: Maajab lyrics mbosso hit song
CHORUS
Kanyaga kanyaga
Kanyaga kanyaga
Kanyaga kanyaga
Kanyaga kanyaga
Kama unalicheza zangu
Kanyaga kanyaga
Wale wakuda wadaku
Kanyaga kanyaga
Ye kidaku daku
Kanyaga kanyaga
Wajue hizi namba chafu
VERSE TWO
Oyae, Sikuhizi watu wanataka money
So mijimu itakukost (Kanyaga)
Kunitumia mipicha pigo gani
Eti basi dee nkupost oyaee
Kadi za harusi kuchanga changa (kanyaga)
Wakati mwenyewe nina majanga (kanyaga)
Sina godoro sina kitanda
Ati nikuchangie kodi kwenda kupanga (yii)
Kama buti la mugambo (kanyaga)
Wavuruga mipango (kanyaga)
Wazee wa insta michambo
Eti Baby, niunge bundle cheeeew (kanyaga)
Uzushi, Kanyaga
Mashemu feki, kanyaga
Nuksi, kanyaga
Kudadadeki, Kanyaga
Mawifi, kanyaga
Mpaka ma ex, kanyaga
Mikosi, kanyaga
Oya kanyaga
CHORUS
Kanyaga kanyaga
Kanyaga kanyaga
Kanyaga kanyaga
Kanyaga kanyaga
Kanyaga kanyaga
Kama unalicheza zangu
Kanyaga kanyaga
Wale wakuda wadaku
Kanyaga kanyaga
Ye kidaku daku
Kanyaga kanyaga
Wajue hizi namba chafu
ENDING
I say leeooo
Usiku hatutali
Tunakesha kama popo
Leo leo
Tena wape habari
Kama wao paka
Si mbwa koko
Asa timba timba timba (timba)
Wanangu timba timba (timba)
Kwa guu la kushoto (timba)
Guu la kulia (timba)
Asa timba timba timba timba
Oyah wahuni timba (timba)
Kama unazikili (timba)
Chinja kabisa kili (timba)
KIMYA!
ARTIST: Diamond platnumz