Home NEWS Kata Lyrics – Matata – Official Music Lyrics

Kata Lyrics – Matata – Official Music Lyrics

0
Kata Lyrics

Kata Lyrics – Matata – Download Kata by Matata audio

Ni birthday ni party ni yako
Na maji tunakata juu yako
Ma cookie na ma cake ni zako
We kam tu na Caro pitanga uki

Kata kata kata kairetu kata
Kata usiogope leo tuna party
Watu waokote

Kata kata kata kairetu kata
Kata usiogope leo tuna party
Watu waokote

Verse One

Leo Leo leo ni leo leo
Ile siku,
Dudu hugeuka, kipepeo
Ile siku
Paka huswing na kibembeo
Ile siku hadi dogi zi huwika weaw meaw

Nina doo za kuthrow form ni how how
Mr look look swag ya ki bow wow
Sio masoo ni mangiri mathao thao
It’s your bash make a wish blow my candle

Nimecome na zawadi kila aina
Ma cologne na ma cladi za designer
Kabla twende bash  kwanza twende diner
Machapo machipo na take out za ki china

Alafu Leo  Dunga zile zina bana
Zenye mafisi wakiona, Yes bana
Alafu tip toe kidogo sio sana
Mwambie aliyekuzaa tumesema asante sana

Chorus

Ni birthday ni party ni yako
Na maji tunakata juu yako
Ma cookie na ma cake ni zako
We kam tu na Caro pitanga uki

Kata kata kata kairetu kata
Kata usiogope leo tuna party
Watu waokote

Kata kata kata kairetu kata
Kata usiogope leo tuna party
Watu waokote

Verse Two

Kairetu ka ni keki kata
Nakupata party umedunga bata
Unakata maji we ni  drunken master
Kiuno spaghetti na mimi ni paster

Githeri ya mary wa nyeri Aaah
Sherehe na Njeri Ndumberi  Aaah
Puliza candle wish I come true
peng ting me na handle age ni number tu

Sijaitwa bash nimekam kimangoto
Zikishika nakwama kiroboto
Na mzinga mi si buy mi si msoto
Ka ni ngori sijajaa juu ya toto

Wanapiga mboto matata kwa mtaa
Nashinda loto nabado unakataa
Leta champagne na chupaa za Belaire
Dufo mpararo leo tunaogelea

Chorus

Ni birthday ni party ni yako
Na maji tunakata juu yako
Ma cookie na ma cake ni zako
We kam tu na Caro pitanga uki

Kata kata kata kairetu kata
Kata usiogope leo tuna party
Watu waokote

Kata kata kata kairetu kata
Kata usiogope leo tuna party
Watu waokote

Kata kata kata kairetu kata
Kata usiogope leo tuna party
Watu waokote

Kata kata kata kairetu kata
Kata usiogope leo tuna party
Watu waokote

Kata Lyrics Credit – Matata

ALSO, SING TO – Mwiituasa Lyrics – Akothee – Official Music Lyrics

Leave a Reply