Contents
Kata Remix Lyrics – Ommy Dimpoz, Nandy, Khaligraph, Redsan
Yeiyee, wouwooo, yeiyee!
Ai, ai, ai, ai
Yeiyee, wouwooo, yeiyee!
Ai, ai,
Kata, kata, kata kata!
Mmmh mpaka chini
Kata, kata, kata kata!
Nyonga mpaka chini
Kata, kata, kata kata!
Yeii mpaka chini
Kata, kata, kata kata!
Down low!
Verse One
Body lako linaita
Na hizo chuchu saa sita
Nikucharaze kama gita
Basi shuka shuka down low(Buyaka)
De man dem no dema care much me
Fire dem wa can’t get enough of me
Gyal, drop it down nice land
Wa me a stop in addi scene
Everything I run
Nah aah-nah nah nah nah…
Nah aah-nah nah nah nah…
Chorus
Kata, kata, kata kata!
Mmmh mpaka chini
Kata, kata, kata kata!
Nyonga mpaka chini
Kata, kata, kata kata!
Yeii mpaka chini
Kata, kata, kata kata!
Down low!
Verse Two
Vile dem anakata kata inakaa ni kisu ya warogi
Mi nitaichapa chapa twa twa ka kijana wa Nairobi
Vile anawaka waka macho inabidi nifunike na noti
Nakutaka taka but kwanza lazma nibishe hodi
Utadhani mi ni mmeru vile verse nachana
Eyoo Johns naona siku hizi umekuwa mrasta sana
Unadhani utaniweza buda bas kazana
A devoted member kwa ile kanisa ya pastor Ng’ang’a
So kinyoriro apantaka
Ni marry mlami ana haga anakaa mjaka
Na ka unanisaka unajua mahali unaeza ukanpata
Heyoo ni parte after parte si ndo wanarun after
Huh ka hajabeba mi nitampita tu
Anataka kutoa kitu hapa tunaona ni mshipa tu
No disrespect mi ni OG siwezi choma picha boo
But if you don’t got no booty samahani sista duu
Blessings nazo tumesunda kwa kibenje
Staying out of trouble hatutaki lala stenje
Hii si gully Mavado bani utembee na kirende
Na hatupendi mascandal so seti mbali kamenje
Eyoo verse mi napiga kiras
Redsan Ommy Dimpoz give me the plus
Naambia promoter si huwa tunalipwa in cash
No wonder sisi hurusha rusha tukifika kwa bash
Chorus
Kata, kata, kata kata!
Mmmh mpaka chini
Kata, kata, kata kata!
Nyonga mpaka chini
Kata, kata, kata kata!
Yeii mpaka chini
Kata, kata, kata kata!
Down low!
ALSO, SING TO – Unaniweza Lyrics – Jux – New Song January 2020
Verse Three
Napenda anavyo whine anavyokata anavyobend
Press your body back on me gyal and make we trend
Hot gyal a wan you bout you I defend
So pull up your body rub it and descend
Me never have a sidechiq you addi main
Everywhere I go follow like rain
No need to worry, for you am already insane
Later na Ommy dimpoz with another song
Girl just chock off the chain, chock off the chain
Chock up the chain girl chock up the chain
Chock up the chain
girl chock up the chain Chock up the chain girl chock up the chain
001
Kata katika girl, kata katika girl Kata katika girl, kata katika girl Kata katika girl, kata katika girl Kata katika girl, kata katika girl
Chorus
Kata, kata, kata kata!
Mmmh mpaka chini
Kata, kata, kata kata!
Nyonga mpaka chini
Kata, kata, kata kata!
Yeii mpaka chini
Kata, kata, kata kata!
Down low!
Verse Four
Tango
Ninataka tango
Niletee Tango
Zimenikifudhi baya
Tango
Ninataka tango
Niletee Tango
Zimenikifudhi baya
Chorus
Kata, kata, kata kata!
Mmmh mpaka chini
Kata, kata, kata kata!
Nyonga mpaka chini
Kata, kata, kata kata!
Yeii mpaka chini
Kata, kata, kata kata!
Down low!
Kata Remix Lyrics Credit – Ommy Dimpoz, Nandy, Khaligraph Jones, and Redsan
Â