Contents
Kawazim Lyrics – Boondocks Gang Ft Sailors, Magix Enga
Uuuh uuuh
Eee enyewe mnakuwanga mmenizoea
na hii nduru bana sipigi tena eeh
Itabidi muanze kuniripa
Enga ebu cheza hio ngoma bana
Achilia hiyo ngoma bwana
Verse One
Yoh yoh yoh
Nimepull up na genge nzima
Ukicheza bare moja kijanaa na utazima
Ghai woooii sa umenigongea nini
Oh skiza beat
Vile nimekaza hizi kick
Na ukicheza pia dem wako naweza mkaza kama nati
Aah ngoja ngoja kwanza
Magix Enga kwa nini anaimba na anaproduce sio fair
Buda hii industry ni yangu
Ukitaka kuhit itabidi ukuje kwangu
Ama ubook a session nikufanyie kangoma
uhit kidogo hiyo ni fair
Aaiii mi nataka hii bill
Kuna vile brain na uchizi zinamix
Aaiii speaker zikigith
Zinakuwanga fiti yaani physically fit
Aaaii raha kwenye sit hudance kwa matiti
nawaongeze nawaongeze
Kawazim kawazim kawazim mimi, eeeh
Kawazim kawazim kawazim mimi,
Uhoroki
Kawazim kawazim kawazim mimi, eeeh
Kawazim kawazim kawazim mimi,
Uhoroki
Kawazim Lyrics Verse Two
Niko madu aii niko madudu Niko madu aii niko madudu
Niko madu mmh niko madudu Niko madu aii niko madu aii niko
madu aah niko madudu Niko madu mmh niko madudu
Ya wariro zimeshika ka mukorino
Huku daktari hapa hakuna maombitho
Zina kaa red ako nyanya ako ridho
Mapunyeto hapa ni kaa DC
Sheto ka ni ngeus tanideceive
Hana county na mi DC
X video ABCD
Toto wangu weh, weh
Mimi baba yenu, weh
Ikus ka ni ya poko, weh
Labda akuwe virgin, weh
Aliua fisi, weh sasa torokeni eeh
Wethoni regaridha tunitoni regaridha
Tunitoni regaridha tu tidia waguruki
Aru aru waru meza kavu kavu kavu
Supu ya madafu dafu dafu
Niko radhi kwa bafu bafu bafu bafu
Niko madu aii niko madudu Niko madu mmh niko
madudu
Niko madu aah niko madudu Niko madu mmh niko madudu niko
madu mmh niko madudu Niko madu
Kawazim Lyrics Verse Three
Aaah aah saa ngapi
Odi wa Murang’a ati we ni nyundo poa kwa du
Lakini mi hupenda paka supper tu
Na nina ka ugonjwa ya kuomoka ndugu
Nikope pinus naorder muguka zoo
Zimeshika kama toja ikiwa swallow
Niko kotini na koti yangu imejaa mandom
mi kichwa mbaya mi so trile ka jaa mandom
Na nina riada ya hawa madem wao hunyora kwako gui
Na hii sio mbingiji jinga type
Avavavaavavavava ngoja ngoja ngoja ngoja ngoja ngoja
Ati aaiii ati nitoe nisitoe, toa
Nitoe nisitoe, toa Nitoe nisitoe, toa Nitoe nisitoe
Aaae mukorino naaah
Nosiowa dhuria negethara reki
Ciume themo thitho kweeja kerima
Kerima ya siro gai gai gaaaii
Kawazim Lyrics Last Verse
Huskii ati nilikuwa nadhani ni pekejeng
Ati pekejeng pekejeng
Aaiii aaaaiiiiii iiiiaa unaskia nini unaskia venye nimemuingiza
Wewe utaniuwa,, kwani hujawahi kufa, utaniuwa
Umeskia venye nimemuingiza, wamekufa, whatsapp group
Aaah rukido
Buruweng’ aki walai jaba imeraruka
Alafu sasa, alafu sasa sijasema kitu
Si pewa kete pewa makete pewa maketee
Sijasema kitu beats ni ya magix enga
The beat king ameuaa
Credit: Boondocks Gang and Sailors and Magix Enga
SING TO: Ni Tekenye Lyrics – Sailors Ft Nadia Mukami – New Song 2020