Home GENERAL Kererembe Lyrics – Bahati Ft Mejja, Madtraxx (The Kansoul)

Kererembe Lyrics – Bahati Ft Mejja, Madtraxx (The Kansoul)

by Louis
Kererembe Lyrics

Contents

Kererembe Lyrics – Bahati Ft Mejja, Madtraxx – Download Audio mp3

Maddi kwenye track, Kererembe
Baha na The Kansoul, Kererembe
Mahater tunaleta, Kererembe
Ni kufunika na, Kererembe

Nikiwa na Jah Jah, Kererembe
Baraka zina jaa jaa, Kererembe
Mahater wanabonga, Kererembe
Na bado shows zinashona, Kererembe

Verse One

Referee ni mwenyezi, kererembe
Ashapuliza, kererembe
Ndio maana mi napendwa na, kererende
Mistari ziko tamu ka, pereremende

Ni vitu ngapi mtaa nimeona
Kabla hakajaiva yaani nilisota
Before wanijuwe jah jah aliniona
Wacha sai blogs zinabonga

Chorus

Maddi kwenye track, Kererembe
Baha na The Kansoul, Kererembe
Mahater tunaleta, Kererembe
Ni kufunika na, Kererembe

Nikiwa na Jah Jah, Kererembe
Baraka zina jaa jaa, Kererembe
Mahater wanabonga, Kererembe
Na bado shows zinashona, Kererembe

Verse Two

Aah, garage noma
Hainaga sign board
Mechanic mnoma huwa kwa kichorochoro
Mungu ni noma, najisifu
Akikubariki wacha jo kupiga mdomo

Si bahati, ngomani Mejja
Hii ni mbogi natambuwa jah jah
Nikona Mungu jo mi siogopi warazzi
Nanyenyekea mbele ya mungu shukurani

Kila mwaka mahits nawapa genge
Mkingoja nichape kererembe
Weka mikono juu cheki kerende
Pepo toka toka teke
Okonkwo

Chorus

Nikiwa na Jah Jah, Kererembe
Baraka zina jaa jaa, Kererembe
Mahater wanabonga, Kererembe
Na bado shows zinashona, Kererembe

Maddi kwenye track, Kererembe
Baha na The Kansoul, Kererembe
Mahater tunaleta, Kererembe
Ni kufunika na, Kererembe

Verse Three

All the man in adi house and the gyal dem
Ukiona mikono juu mi ni suspect
Tukiingia si unajuwa tu ni rampage
Kunawaka mafuta taa leta nare

Napenda warembo tabia nzuri
Yule nitakaa naye harusi
Hadi maclande hata si wakumbuki
Devil akitucheki, anatoka nduki

DJ cheza Khalif ogopa
Nataka kuona raia wakizitoka
Ni Baha Kansoul mambo mbaya
Ningekuwa wewe ningeretire

Chorus

Nikiwa na Jah Jah, Kererembe
Baraka zina jaa jaa, Kererembe
Mahater wanabonga, Kererembe
Na bado shows zinashona, Kererembe

Maddi kwenye track, Kererembe
Baha na The Kansoul, Kererembe
Mahater tunaleta, Kererembe
Ni kufunika na, Kererembe

Kererembe Lyrics Credit – Bahati Ft Mejja and Madtraxx  (The Kansoul)

ALSO, SING TO – Zarika Lyrics – King Kaka – New Song 2020

Related Posts