Kivuruge Lyrics – Nandy – Download the Song
Verse One
Ulienipa maumivu mi kama nyang’au
Na tena maumivu dawa ninywe vidongee
Kwa marafiki mashost ukanidharau, hmm
Ukanitia uvivu stress niwe mnyonge
Oh ooh ulie nipa maumivu mi kama nyang’au
Na tena maumivu dawa ninywe vidonge, hmm
Kwa marafiki mashosti ukanidharau
Ukanitia uvivu stress niwe mnyonge
Leo sina thamani ndio maana
Unawafata milupo ooh baba
Leo sina thamani eeh ndo maana
Unawafata milupo oh baba
Chorus
We niache eeh Nitapona
Mdogo mdogo nitapona
Niache niende salama
Nitapona mdogo mdogo nitapona
We niache eeh Nitapona
Mdogo mdogo nitapona
Niache niende salama
Nitapona mdogo mdogo nitapona
Aaah ooh
Verse Two
Mara ugomvi unakurupua unanitukana mimi
Hata zawadi nikikuletea husemi asante
Tena nashare hata bila kujua we hulidhiki kwa nini?
Kuna wakati nilijisumbua mwenzangu usiwaze
Wangu moyo we unauchanganya, ah
Umekuwa kivuruge unavuruga sana baba wee
Kitu gani kwako mi sijafanya, eeh eeh
Ama kuna mtu mnapendana sana
Leo sina thamani ndo maana
Unawafata ma-sister-du oh baba
Leo sina thamani eeh ndo maana
Unawafata ma-sister-du oh baba
Chorus
We niache eeh
Nitapona mdogo mdogo nitapona
Niache wewe niache Nitapona
Mdogo mdogo nitapona
We niache wee, nitapona kidogo kidogo
Nitapona
Mdogo mdogo nitapona
Nitapona mi..
Nitapona mdogo mdogo nitapona
Aiyoyoiyoooh….
Kivuruge Lyrics Credit – Nandy
ALSO, SING TO – Hazipo Lyrics – Nandy – Official Music Lyrics