Home GENERAL Kiza Kinene Lyrics – Nandy Ft Sauti Sol

Kiza Kinene Lyrics – Nandy Ft Sauti Sol

by Louis
Kiza Kinene Lyrics

Contents

Kiza Kinene Lyrics – Nandy Ft Sauti Sol – Download mp3 Audio

Verse One

Kimambo on the beats

Kiherehere kimeniisha
Eeh nimekuwa simulizi kwa penzi lako
Waninanga wee

Zaidi yanisikitisha
Eti nimekuwa chuma cha kafuro
Nipo juu ya mawe

Jikoni kwangu kaingia mdudu gani?
Mara kwenye kikombe mara sahani
Ona katibua maji kisimani

Oooh salala
Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua
Masala
Nimezidisha chenji kimeota nyasi

Mbaghala
Nilipita dirisha nafasi kuigombania
Ah baba
Kumbe basi limejaa na mlango upo

Chorus

Haioni mboni yangu (Kiza kinene)
Kibatari utambi umetumbukia(Kiza kinene)
Yaila ghidira yangu(Kiza kinene)
Nimepekechwa nguzo niliyoegemea(Kiza kinene)

Ah…aah

Verse Two

I’ve been trying not to diss you
Mwenzako mimi nilikuwa sina issue mpenzi
Hope uko sawa, my darling

And I’ve been trying not to miss you
Ila unapoenda kutwa yangu maumivu
We yangu dawa, ooooh ooh

Chumbani kwangu kaingia kunguni gani?
Mara kwenye kitanda mara kwa shati
Aii, haya ni maruani
Yanafanya nakosa amani

Oooh salala
Huenda sio fungu langu nimekosea kuchagua
Masala
Tushazamisha meli yameisha

Mabega
Nitaambia nini waingo mukhana athire ena
Ingababwa
Nina mafeelings ingawa sijiwezi

Chorus

Hayaoni macho yangu(Kiza kinene)
Koroboi utambi umetumbukia(Kiza kinene)
Yaila ghidira yangu(Kiza kinene)
It never gonna be the same
No No No No oooh(Kiza kinene)

Kiza Kinene Lyrics Credit – Nandy and Sauti Sol

ALSO, SING TO – Bao Lyrics – Kassim Mganga – New Song 2020

Related Posts