Home NEWS Kutwangana Lyrics Disco Matanga Parody – Padi Wubonn

Kutwangana Lyrics Disco Matanga Parody – Padi Wubonn

0
Kutwangana Lyrics

Kutwangana Lyrics Disco Matanga Parody by Padi Wubonn

Unatoa machozi na sauti hutoi
Leta huyo mama niambie watu story

Leo utaeleza watu yale ambayo
Unayafanya nyumbani

Unatoa machozi na sauti hutoi
Leta huyo mama niambie watu story

Hao masupuu wanataka lazimisha kutwangana
Oooh kutwangana
Wakidai ni kulazimisha sisi kutwangana
Oooh kutwangana

Lazima mtudhulumu afadhali kunywa chang’aa
Si kunywa chang’aa
Hao masupuu wanataka lazimisha kutwangana
Oooh kutwangana

Hao masupuu wanataka lazimisha kutwangana
Oooh kutwangana
Wakidai ni kulazimisha sisi kutwangana
Oooh kutwangana

Lazima mtudhulumu afadhali kunywa chang’aa
Si kunywa chang’aa
Hao masupuu wanataka aazimisha kutwangana
Oooh kutwangana

Si ulisema sijui mchezo
Umeona uje uniaibishe mbele ya umati congregation
Venye haudai ata kuulizwa question
Na mimi nikidai naambiwa kwenda tafuta solution

Mnasema mnanyimwa mfupa aki si ni uongo
Nyi ndo mnaficha hii nyama
Huonji mtu hata umlilie ni bure
Ni balaa

Tangazia watu enda patanisho
Sikupi limfupa
Limpfupa, kwenda

Hao masupuu wanataka lazimisha kutwangana
Oooh kutwangana
Wakidai ni kulazimisha sisi kutwangana
Oooh kutwangana

Lazima mtudhulumu afadhali kunywa chang’aa
Si kunywa chang’aa
Hao masupuu wanataka lazimisha kutwangana
Oooh kutwangana

Keleele nyingi na nyumbani kwenu
Hamjawai leta mboga
Unaniita bibi na ni miezi tatu
Tangu msumari kugongwa

Mtatukosa akilini
Lakini mavilabu hamwezi kosa
Hii sukari mnashinda mkificha
Leo mtakoma

Tulikuwa manyanga, tulikua ma
Wazazi wakituposa
Na nyi sio wanjanja
Hii panga hatuwezi tukakosa

Tulikuwa manyanga, tulikua ma
Wazazi wakituposa
Na nyi sio wanjanja
Hii panga hatuwezi tukakosa

Hao masupuu wanataka lazimisha kutwangana
Oooh kutwangana
Wakidai ni kulazimisha sisi kutwangana
Oooh kutwangana

Hana principles ana change colour
Ameshakuwa gunia
Anakunywa cham na masigara
Hii gunia ishanishinda

Ikikataa kusimama is blaming me
Kiuno ikiganda ati pia ni mimi
Kila kitu ni mimi, ni mimi….
Aah we pia enda uko

Hana principles ana change colour
Ameshakuwa gunia
Anakunywa cham na masigara
Hii gunia ishanishinda

Ikikataa kusimama is blaming me
Kiuno ikiganda ati pia ni mimi
Kila kitu ni mimi, ni mimi….
Aah we pia enda uko

Kutwangana Lyrics

ALSO, SING TO – Muri Mururu Lyrics – Muigai Wa Njoroge

Leave a Reply