Contents
Makasiriko Lyrics – Naiboi
Usibishane na babu wewe
Aaah Uuh yeah Ilogos music yeaah Nai Nai Kwani bosss
Intro Chorus
Hii mwaka haitaki makasiriko
Aa basi punguza alarm
Hii mwaka haitaki makasiriko
Sielewi mbona una jam
Hii mwaka haitaki makasiriko
Aya pewa kwa bill yangu
Hii mwaka haitaki makasiriko
Nausi tangazie watu
Makasiriko Lyrics Verse One
Kuna sampuli flani ya watu boom
Wanakuaga na roho chafu yeah
Aa Wanajifanya mbele ya watu
Eti marafiki kumbe ndani nimachatu
Aa basi punguza feeling
Vitu zingine hazinaga meaning
Ya mvua unajua dalili
Aa Nishaona mbele niko gangari Gangari eeh
Back stabber dem a back stabber
Wanakukulia bila kutumia rubber, mafala
Itabidi leo tuwatoke ki design
Fitina fitina na resign Nai Nai
Chorus
Hii mwaka haitaki makasiriko
Aa basi punguza alarm
Hii mwaka haitaki makasiriko
Sielewi mbona una jam
Hii mwaka haitaki makasiriko
Aya pewa kwa bill yangu
Hii mwaka haitaki makasiriko
Nausi tangazie watu
Makasiriko Lyrics Verse Two
Hii mwaka sibishani mara mbili
Vitu zingine uchokesha akili
Hii mwaka nimechorea ma pressure
Hii mwaka ni ya kusakanya pesa
Kwenye radio zidi kunisema
Side yangu ni volume naongeza
Ye Natutazidi kuwa tesa
A Naiboi worldwide tingisha meza
Chorus
Hii mwaka haitaki makasiriko
Aa basi punguza alarm
Hii mwaka haitaki makasiriko
Sielewi mbona una jam
Hii mwaka haitaki makasiriko
Aya pewa kwa bill yangu
Hii mwaka haitaki makasiriko
Nausi tangazie watu
Aaah Uuh yeah Ilogos music yeaah Nai Nai Kwani bosss
Credit: Naiboi
ALSO, SING TO: Best Rapper in Nigeria Lyrics – Khaligraph Jones – 2020