Contents
Mako Stamina Lyrics – Z Anto
Mako Stamina Lyrics Verse One
Mako dinda mako stamina
Pole kwa kupigwa teke
Haya wameweka tuweke
Pole baba
Kweli kucheat iwa kunauma
Usiyaombe yakukute
Utatamani unune ucheke
Pole baba
Ila ndoa vazi la stara
Manabii walishasema aah
Mkipendana mkiachana
Huto msivuane
Ona Mondi kamwaga kauchunaga
Yobo kamwagwa kauchunaga
Barnaba kamwagwa kauchunaga
Na mashari yake
Ona Kiba kamwaga kauchunaga
Jux kamwagwa kauchunaga
Naye kamwagwa kauchunaga
Na ubabe wake
Chorus
Mako dinda mako stamina
Don’t talk, eh, don’t talk
Mako dinda mako stamina
Don’t talk, don’t talk
Mako dinda mako stamina
Don’t talk, eh, don’t talk
Mako dinda mako stamina
Don’t talk, don’t talk
Mako Stamina Lyrics Verse Two
Wewe sio wa kwanza kutendwa
Wengi wametendwa mpaka wakazikangwa
Wote tukisema ati wamwage
Yaani watukute, dunia haitasimama
Zile rote rote
Hatukutaka kusikia
Hatukejeli mashehe
Wanaopenda kuzikaga
We kwanza jikaze
Ona Mondi kamwaga kauchunaga
Yobo kamwagwa kauchunaga
Barnaba kamwagwa kauchunaga
Na mashari yake
Ona Kiba kamwaga kauchunaga
Jux kamwagwa kauchunaga
Naye kamwagwa kauchunaga
Na ubabe wake
Chorus
Mako dinda mako stamina
Don’t talk, eh, don’t talk
Mako dinda mako stamina
Don’t talk, don’t talk
Mako dinda mako stamina
Don’t talk, eh, don’t talk
Mako dinda mako stamina
Don’t talk, don’t talk
Kuachana si mwanzo wa chuki na kashsfa
Tuwache maisha yaendelee
SING TO: Ayeye Lyrics – Linex Sunday Mjeda – New Song 2020
Mako Stamina Lyrics Credit – Z Anto