Mama Lyrics by Harmonize – Download Mp3 Audio
Introduction
Yeah, this one go to all
Beautiful mothers in the world
I love you mama
I want talk to yah
Verse One
Hello mama, leo nimepata kisimu cha kuazima
Nikaona hata angalau niijue hali yako
Vipi upo salama?
Yana dhumuni nijue kama u mzima
Hadi nimesahau shikamoo heshima yako
Ingawa bado mambo magumu
Ila sijachoka napambana
Ulinisihi nikakudhulumu
Ni makosa kwa Rabana
Wasikudanganye na picha za mitandao
Ukahisi na pocho
We niombe kila kukicha mimi mwanao
Ipo siku nitatoboa
Nilisikiaga mjomba Isa
Yule fundi mbao
Tayari ameshaoa
Ila yote tisa kumi mwanao
Moyoni nina doa la kuwa mbali nawe
Chorus
Mama, I love you,
I say I love you mama, Mama I love you
Nahangaika ili kesho nikutunze
Mama I love you, I love you, I love you
Mama I love you
iiii, I love you mama
Verse Two
Miezi tisa tumboni
Kwa mateke mi mtundu ulinibeba
Ukajitesha mgongoni
Upweke na uchungu ule wa leba
Nikisema nikusifie
Sifa zako siwezi maliza
Ninachotamani usikie
Kwa ajili yako nabangaiza
Mama sio mchana sio usiku
Kukicha nakwenda race
Ila naamini ipo siku
Mola atanifanyia wepesi
Chunga!
Wasikudanganye na picha za mitandao
Ukahisi na pocho
Uniombe kila kukicha mimi mwanao
Ipo siku nitatoboa
Nilisikiaga mjomba Isa
Yule fundi mbao
Tayari ameshaoa
Ila yote tisa kumi mwanao
Moyoni nina doa la kuwa mbali nawe
Chorus
Mama, I love you,
I say I love you mama, Mama I love you
Nahangaika ili kesho nikutunze
Mama I love you, I love you, I love you
Mama I love you
Iiii, I love you mama
Mama Lyrics by Harmonize
ALSO, SING TO – Kilio Lyrics – Dj Seven Ft Ruby