Home GENERAL Mateka Lyrics – Aslay – New Song 2019 Lyrics

Mateka Lyrics – Aslay – New Song 2019 Lyrics

by Louis
Mateka Lyrics

Mateka Lyrics – Aslay

Verse One Mateka Lyrics

Ooh mama yeah
Ooh mama yeah

Kanilambisha rimwata nisikule
Nahisi kama nadata msupuu eeh
Na moyo wangu unawasha upelee
Napuliza nakung’ata, maajabu
Upendo umevuka kina
Nina wivu mpaka roho inauma
Iwe Japan au China
Weka gundi beiby tutagandana

Supu ukitia nazi utaharibu
Kidole niweke pete
Tuwe karibu
Kisha tukawasalimu
Bibi na babu Babu babu babu
Watupikie mihogo
Tunywemeke tukacheze sinema

Chorus

Ndege limetua kwenye mti wangu
Nimetekwa mateka, aa aa aa aa
Nimetekwa mateka
Nimeridhika hayuni wangu
Nimetekwa mateka, aa aa aa
Nimetekwa mateka
Mlango nimepata kufuli wee
Nimetekwa mateka, aa aa aa
Nimetekwa mateka
Hapa mwisho wa ujeuri yee
Nimetekwa mateka, aa aa aa
Nimetekwa mateka

Verse Two Mateka Lyrics

Ndoto yake ilikuwa kunipata
Alivyonipata sino akanipa
Alivyonipa nashangaa nadata
Nikazama mazima
Wa kwangu mwenyewe,
huyu huyu huyu huyu
Nimempenda mwenyewe,
huyu huyu huyu huyu
Wa kwangu mwenyewe mwenyewe
Huyu huyu huyu huyu
Punguzeni vimbembele
Huyu huyu huyu huyu

Supu ukitia nazi utaharibu
Kidole niweke pete
Tuwe karibu
Kisha tukawasalimu
Bibi na babu Babu babu babu
Watupikie mihogo
Tunywemeke tukacheze sinema

Chorus

Ndege limetua kwenye mti wangu
Nimetekwa mateka, aa aa aa aa
Nimetekwa mateka
Nimeridhika hayuni wangu
Nimetekwa mateka, aa aa aa
Nimetekwa mateka
Mlango nimepata kufuli wee
Nimetekwa mateka, aa aa aa
Nimetekwa mateka
Hapa mwisho wa ujeuri yee
Nimetekwa mateka, aa aa aa
Nimetekwa mateka

Verse Three

Huyu huyu huyu huyu, Huyu huyu huyu huyu
Huyu huyu huyu huyu, Huyu huyu huyu huyu

aslay

ALSO, SING TO Turn Me On Lyrics – Whozu Ft S2kizzy – New Song

Related Posts