Contents
Matisha Lyrics – Zzero Sufuri – Download Mp3 Audio
Verse One
eah yeah cheki!
Hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha(matisha)
Brand new style inaitwa matisha(matisha)
Ka una kikolo, kinare iko area wakisha(wakisha)
Ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha(dirisha)
Eeeh hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha(matisha)
Brand new style inaitwa matisha(matisha)
Ka una kikolo kinare iko area wakisha(wakisha)
Ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha(dirisha)
Eeh, hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha(matisha)
Brand new style inaitwa matisha(matisha)
Ka una kikolo kinare iko area wakisha(wakisha)
Ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha(dirisha)
Eeeh, na wakikuuiliza ni nani alikuwa akiziwakisha(wakisha)
Ibaki ni jirani huku kando alikuwa akiziwakisha(wakisha)
Na si amezivuta sana leo ameziwakisha(wakisha)
Jo ni kubaya morio, ngori ni kumatisha eeh
Nikumati ni kumati ni kumatisha(matisha)
Nikumatisha design bila kubahatisha(bahatisha)
Ka una kikolo kinare iko area wakisha(wakisha)
Ibaki ni ma moshi zinatoka hadi na dirisha
Eeeh, ka umepiga look uko msafi, jo umetumatisha(matisha)
Ka uko na kamutu, ni kazuri na kamematisha(matisha)
Mambo ya kuhanya biriganya bado umematisha
Eeeh, na kangoma kengine kanaitwa matisha(matisha)
Chorus
Hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha(matisha)
Brand new style inaitwa matisha(matisha)
Ka una kikolo kinare iko area wakisha(wakisha)
Ibaki ni mamoshi zinatoka hadi na dirisha eeh(dirisha)
Hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha(matisha)
Brand new style inaitwa matisha(matisha)
Ka una kikolo kinare iko area wakisha(wakisha)
Ibaki ni ma moshi zinatoka hadi na dirisha(dirisha)
Verse Two
Cheki, si unaeza chizi ukikimbiza mbuzi ngozi inakaa doh
Si ni kumatisha, wako lamba lolo isha tu go
Hujaskia ma morio flani wakali wametoka Dago
Si wamekam na ingine mbaya si unasikia vile inadunda bro
Hiyo cheki, hii ni ile mbaya mlikuwa mkiongojea
Niliiskia mkiongea ikabaki ni kuwaletea
Hii ni, ile fiti iko na kikadi snare
Hii ni beat nikiwa nayo
hadi mambo nitawapea
Hii ni, ile ya mafans wangu kuwagotea
Kuwashow bado niko si ati mi nilipotea
Hii ni, ile ya jeshi kumatisha
Jeshi cheza chini na bado pia ujue kumatisha
Jeshi ilegezagi mabata bado huziwakisha
Kwanza ikuwe tamasha hapo ndio sasa
Sisi huzimati(matisha)
Chorus
Hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha(matisha)
Brand new style inaitwa matisha(matisha)
Ka una kikolo kinare iko area wakisha(wakisha)
Ibaki ni ma moshi zinatoka hadi na diri-(dirisha)
Hii ni ngoma ingine mtaani inaitwa matisha(matisha)
Brand new style inaitwa matisha(matisha)
Ka una kikolo kinare iko area wakisha(wakisha)
Ibaki ni ma moshi zinatoka hadi na dirisha eeh(dirisha)
Yeah yeah, ni Zzero
Kama sos mi ndio Soss
Mi ndio Boss
Mi ndio World Boss
Eeh, big up Megalinks Productions
Matisha Lyrics Credit – Zzero Sufuri
ALSO, SING TO – Zimenishika Lyrics – Zzero Sufuri – Song 2019