Home GENERAL Moto Makusudi Lyrics – Padi Wubbon – New Song 2020

Moto Makusudi Lyrics – Padi Wubbon – New Song 2020

by Louis
Moto Makusudi Lyrics

Moto Makusudi Lyrics – Padi Wubbon – Download Mp3 Audio

Hehehehe
Papa Jegede na Akwanga

Wanataka tukufe, wanataka tukufe
Lakini wapi
Wanataka tukufe, wanataka tukufe
Lakini wapi

Wanataka tukufe, wanataka tukufe
Lakini wapi
Wanataka tukufe, wanataka tukufe
Lakini wapi

Eeh nina mikono kiuno mgongo
Miguu inatamani mchezo
Mwili bado kuganda
Eeeh na mwili bado ganda

Na bado damu inachemukanga
Siwezi kushika natakanga
Aaa aaaaaaahhh

Wanataka tukufe, wanataka tukufe
Lakini wapi
Wanataka tukufe, wanataka tukufe
Lakini wapi

Wanataka tukufe, wanataka tukufe
Lakini wapi
Wanataka tukufe, wanataka tukufe
Lakini wapi

Mombasa
Padi amewasha moto makusudi
Kisumu
Padi amewasha moto makusudi
Nairobi
Padi amewasha moto makusudi
Eldama Ravine
Padi amewasha moto makusudi

Mtu anadance dance katikati anashikwa na
Muscle pull hey
Mtu anapiga luketo, luketu, shikwa pigwa na
Muscle pull hey

Mtu anatandika micharazo mmmh aah
Muscle pull hey
Mtu anatandika maright left shikwa na
Muscle pull hey

Washa eeh, Simba aah
Kiuno kimewaka moto
Papa sholle
Kiuno kimewaka moto
Fred Obachi
Kiuno kimewaka moto
Eric Atweng’a
Kiuno kimewaka moto
Papa mukaaa

Madam ananyamba
Ananiacha nikishika kitanda
Madam ananyamba
Ananiacha nikishika kitanda
Madam ananyamba
Ananiacha nikishika kitanda

Aaaaah mama ma maa
Aa ya ya ya ya ya
Uuh yeah ya
Ma ma mama

Aah we we we we
Mami yeah, yeah
Mami yeah mami yeah

Zungusha zungusha zungusha
Kissy mwa kissy mwa
Zungusha zungusha zungusha
Saluti, kissy mwa, kissy mwa

Aaah, mama dada mama dada
Mama dada mama dada mama
Ma ata ma ata ma ma
Aah sherry ah mchululululusiele valabioso
Ata mi sijui nimesema nini hapo

Fimbo yoyo fimbo yoyo
Eeh Mjulu mjulu mjulu mjulubeng
Kama mtu anataka fimbo mjulubeng
Na kama mtu anataka mkono mkono mjulubeng
Na kama mtu anataka mfupa mfupa mjulubeng
Kama hakuna kama hakuna kama hakuna
Ati kama hakuna, kama hakuna, kama hakuna
Kaa na mama yako

Moto Makusudi Lyrics Credit – Padi Wubbon

ALSO, SING TO – My baby Lyrics Teamo Cover – Dogo Charlie – New Cover 2020

Related Posts