Moyo Lyrics – Hawa Ntarejea – Download Moyo by Hawa Ntarejea
Kipi usichojua
Maana isili weka hadharani
Labda ulipogundua
Ukaniua kisu cha buchani
Woii ukanirarua
Leo kwako mi sina thamani tena
Ibada niombe dua
Labda utarudi kuwa ka zamani
Macho yalalamika kusubiri
Kwa sababu ya kukesha
Na nikikesha kuna mawili
Huja usije kabisa
Moyoni naona dalili
Pendo nalichekecha
Tamu imegeuka shubiri
Mapenzi yamekwisha kabisa eeh
Hata mi nina moyo ni moyo
Usisahau mi moyo ni moyo
Ukumbuke moyo ni moyo
Wenye nyama moyo ni moyo
Hata mi nina moyo ni moyo
Usisahau mi moyo ni moyo
Ukumbuke moyo ni moyo
Wenye nyama moyo ni moyo
Nina imani unavyoniliza leo
Na mi kesho mungu atanilipia
Siamini mi nimegeuka kero
Sina chochote cha kukupa hisia
Hivi ni kweli ninayo yaona leo
Au niko ndotoni
Mapenzi yamekuwa koleo
Yanayo chimbiwa shimoni
Macho yalalamika kusubiri
Kwa sababu ya kukesha
Na nikikesha kuna mawili
Huja usije kabisa
Moyoni naona dalili
Pendo nalichekecha
Tamu imegeuka shubiri
Mapenzi yamekwisha kabisa eeh
Hata mi nina moyo ni moyo
Usisahau mi moyo ni moyo
Ukumbuke moyo ni moyo
Wenye nyama moyo ni moyo
Hata mi nina moyo ni moyo
Usisahau mi moyo ni moyo
Ukumbuke moyo ni moyo
Wenye nyama moyo ni moyo
Moyo Lyrics Credit – Hawa Ntarejea
ALSO, SING TO – Siogopi Lyrics – Paul Clement – Official Music Lyrics