Contents
Mutaratara Lyrics – Didiman Ft Jabidii – Download Mutaratara mp3 audio
Fom vile unadai dai dai dai dai
Zile zinadai dai dai dai dai
Vile unadai dai dai dai dai
Ziko huku
Fom vile unadai dai dai dai dai
Zile zinadai dai dai dai dai
Vile unadai dai dai dai dai
Ziko huku
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Huku
Hakuna zile za Para eei
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Huku
Hakuna zile za Para eei
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Verse One
Kusikiza hii hauna budi
Wagwan ni mbaya hii ni jabidii na didi
Gospel ni moto hata wakati wa baridi
Unarusha mikono juu unasema buda he did it
Hey Man What agwan?
Maisha mlima sir jangwani
Lakini bado yesu number one
Nakupeleka na rada one by one
One by one daily nipate niko studio
Doing fi di father God me daddy yoh
Ananipa big tunes si ndio hiyo
Daily waniskize kwenye radio
Wacha nikupeleke na rada
Kama sio yesu umeblunder
Wacha nikupeleke na rada
Kama sio yesu umeblunder
Fom vile unadai dai dai dai dai
Zile zinadai dai dai dai dai
Vile unadai dai dai dai dai
Ziko huku
Fom vile unadai dai dai dai dai
Zile zinadai dai dai dai dai
Vile unadai dai dai dai dai
Ziko huku
Chorus
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Huku
Hakuna zile za Para eei
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Huku
Hakuna zile za Para eei
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Verse Two
Bila yesu mi kwa soko siko
Baraka za jah ngware saa za kokoriko
Nipate nikiruka kama Mukorino
Nahubiri neno mpaka Puerto Rico
He has taken the key from the devil
Milango zote ziko wazi mimi nikubisha tu
A thousand cattles on a thousand meal
Ananiweza mimi ni kuitisha tu
On my knees mi na go down
Utanisimamisha mi niki fall down, fall down
Ukinituma i’ll go now
Na ukitaka nitulie i’ll slow down
Slow down
Kwa shetani mimi i’ll never bow down
Niko na Jesus watangoja sana ni go down
Huku mambo ni mutaratara
Tune ikidrop huku ni ma tick na ma well done
Fom vile unadai dai dai dai dai
Zile zinadai dai dai dai dai
Vile unadai dai dai dai dai
Ziko huku
Fom vile unadai dai dai dai dai
Zile zinadai dai dai dai dai
Vile unadai dai dai dai dai
Ziko huku
Chorus
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Huku
Hakuna zile za Para eei
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Huku
Hakuna zile za Para eei
Huku
Mambo ni mutaratara eei
Mutaratara Lyrics Credit – Didiman Ft Jabidii
ALSO, SING TO – Dhudha Lyrics – Ssaru – Official Music Lyrics