Home GENERAL Mwisho Wa Dunia Lyrics – Bahati – Covid 19

Mwisho Wa Dunia Lyrics – Bahati – Covid 19

by Louis
Published: Last Updated on
Mwisho Wa Dunia Lyrics

Mwisho Wa Dunia Lyrics by Bahati COVID 19 – Download Mp3 Audio

My Fellow Kenyans
This Virus is in nearly
All Countries and Territories on the globe
We must prepare for the worst

EMB Records

Mwisho
Isiwe mwisho
Mwisho, aah aah

Dear God
Ni mtoto wako Bahati
Ningependa Tuongee
Tubonge

Verse One

One, nina mambo eeh Mungu
Ningependa kukuambia
Naomba ruksa na muda tu

Two, sijui huwa unaniskia
Ama dhambi zabania
Usiende mbali juu

Tunaikosa riziki baba
Tunaumia tunalia Corona Corona
Yule masikini mama asiye na njia
Au watoto wa mitaani omba omba

Chorus

Mwisho
Isiwe mwisho
Mwisho, Mwisho wa Dunia

Mwisho
Isiwe mwisho
Mwisho, Mwisho wa Dunia

Verse Two

Hakuna show
Hakuna hata doo
Kuna haja gani nijenge hizi flow
When the fans wako locked nyumbani

Mwananchi mfuko iko low
Anarisk curfew asake hata soo
Serikali tuelewe jamani

Waghetto wangu ona tuko taabani
Street Kids wakumbukwe na nani
Tuokoe na hili janga jamani
Corona Corona aah

Chorus

Mwisho
Isiwe mwisho
Mwisho, Mwisho wa Dunia

Mwisho
Isiwe mwisho
Mwisho, Mwisho wa Dunia

Verse Three

Ndio tu nimemarry
Nawasha gari ya maisha nianze safari
Suddenly the End inakam
Aje

Mungu nianze na samahani
Popote tumekosa naomba tuwie radhi
Juu ni siku za mwisho
Tuwe ready ukikam baba

Mwisho
Isiwe mwisho
Mwisho, Mwisho wa Dunia

Machozi yangu ona
Kilio changu ona
Ombi yangu ona
Mi mtoto wako mbona

Naomba isiwe mwisho

Mwisho Wa Dunia Lyrics by Bahati COVID 19

ALSO, SING TO – 420 Lyrics – Boondocks Gang

Related Posts