Home NEWS Na Nusu Lyrics – Nandy – New Song 2020

Na Nusu Lyrics – Nandy – New Song 2020

0
Na Nusu Lyrics

Na Nusu Lyrics – Nandy – Download mp3 Audio

Yogo on the beats
The African Princess

Shii! Akichekecha nacheketua naye
Bandua bwesa ninakesha naye
Bingwa wa mitindo sio foreigner
Dereva sio ulingo
Inashika antenna oyee

Ashanasa ulimbo, ulimbo
Sibanduki ng’o
Mi naye ngoma draw oyee

Nakesha lindo, lindo
Macho kwenye show
Kuchakachua no, oyee

Kaninogea
Ooh inama inama
Koleza na kuni moto chochea
Ooh inama inama

Akipiga kick inatembea
Ooh inama inama
Za ki China China za ki Korea
Ooh inama inama

Akipiga kick!

Napunga kipopo kapaa kabana
Nauminileva kama banana
Nikiguza kitufe mambo mwanana
Ulipopita we mbali we umeshona

Baiko baikoko
Kibao kata kanga moko
Chikigiriki kimoko
Nachora eeeh

Nimeshanasa ulimbo, ulimbo
Sibanduki ng’o
Mi naye ngoma draw oyee

Nakesha lindo, lindo
Macho kwenye show
Kuchekechua no, oyee

Kaninogea
Ooh inama inama
Koleza na kuni moto chochea
Ooh inama inama

Akipiga kick inatembea
Ooh inama inama
Za ki China China za ki Korea
Ooh inama inama

Akipiga kick(Na nusu)

Na nusu, na nusu

Na Nusu Lyrics Credit – Nandy

ALSO, SING TO – Sisikii Lyrics – Jux – New Song 2020

Leave a Reply