Contents
Nairobi Lyrics – Magix Enga – Download audio
Verse One
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa na doh
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa na ssh
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa form
Nikusaka tu madoh, nikusaka tu madoh
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa na doh
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa na ssh
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa form
Nikusaka tu madoh, nikusaka tu madoh
Hapa Nairobi hakuna kucheza
Hapa ni kazi
Ju ni kusaka tu madollar
Hapa ni kazi juu
Kwa imani am a boss now mmmh
Nigga sign my check up here ghost now mmh
Don’t mess with me, Don’t me you gon make me mad
Don’t mess with me, Don’t me you gon make me mad
Chorus
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa na doh
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa na ssh
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa form
Nikusaka tu madoh, nikusaka tu madoh
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa na doh
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa na ssh
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa form
Nikusaka tu madoh, nikusaka tu madoh
Verse Two
Kijana alipiga mihela
Ikabaki jo ni kusakwa na ngeta
Kijana anaball vinoma
Free time ni kuchoma mavela
Ye ni youngboss sio mbleina
Kama ni ngoko ni Vera
Moti ka kumi simple
Ye hucheza
Na ka Uber
Ye ni Youngboss don
Ye hutoanga maform
Halipi kanjo soo(Zii)
Ye hukuwanga na doh
Ye hupiga madesigner
Kama ni Ric Ric drip it
Ye huchananga maveve
Ka si mabati
Chorus
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa na doh
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa na ssh
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa form
Nikusaka tu madoh, nikusaka tu madoh
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa na doh
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa na ssh
Nikifika hii Nairobi
Mabro sikuwa form
Nikusaka tu madoh, nikusaka tu madoh
Verse Three
Hapa Nairobi hakuna kucheza
Hapa ni kazi
Ju ni kusaka tu madollar
Hapa ni kazi juu
Kwa imani am a boss now mmmh
Nigga sign my check up here ghost now mmh
Don’t mess with me, Don’t me you gon make me mad
Don’t mess with me, Don’t me you gon make me mad
Nairobi Lyrics Credit – Magix Enga
ALSO, SING TO – Sidonyo Lyrics – Boondocks Gang – New Song 2020