Home GENERAL Nakupa Moyo Lyrics – Bahati Ft Akothee

Nakupa Moyo Lyrics – Bahati Ft Akothee

by Louis
Published: Last Updated on
Nakupa Moyo Lyrics by Bahati

Nakupa Moyo Lyrics by Bahati and Akothee – Download Mp3 Audio

EMB Records

Ulikonitoa ni mbali
Kwenye panda shuka za maisha
Kwenye mvua na jua kali
Kivulini ukaniweka

Kwenye juhudi za kutafuta shillingi
Hukuninyimaa
Tena kwa taabu nikitafuta riziki
Ukaniinua baba

Nyingi mondo omii duong’
Yesu ruodha
An apaki pile

In e ohingana
E osimbona
An apaki pile ruodha

Umenitendea na mengi nilipe na nini
Nakupa moyo
Umenitendea na mengi nyumbani kazini
Nakupa moyo

Umenitendea na mengi nilipe na nini
Nakupa moyo
Sio nyumbani sio kazini baba
Chukua moyo yesu wangu

Aah nipigwe na mawimbi aaah
Umenilinda siamini
Lako sandere mangalee Zanderema yoo
Ogondo zandage mangeze Olaniwan

Umenifinyanga siamini
Yesu wangu
Umenibebanga ndio mimi

Umenitendea na mengi nilipe na nini
Nakupa moyo
Umenitendea na mengi nyumbani kazini
Nakupa moyo

Umenitendea na mengi nilipe na nini
Nakupa moyo
Sio nyumbani sio kazini baba
Nakupa moyo

Umenitendea na mengi nilipe na nini
Nakupa moyo
Sio nyumbani sio kazini baba
Chukua moyo yesu wangu

Nakupa Moyo Lyrics by Bahati

ALSO, SING TO – Nikuache Lyrics – Akeelah

Related Posts

2 comments

David Chisomeje March 26, 2020 - 11:11 pm

Thanks so much for sharing sir

Louis March 26, 2020 - 11:16 pm

Thank you for your positive comment. Feel free to always come back for more

Comments are closed.