Contents
Nampenda Lyrics by B2K – DOWNLOAD MP3 AUDIO
Verse One
Yani wauliza niko wapi
Punguza wivu mamy
Mbona toka juma tatu
Najishindia nyumbani
Kwani hili giza uko wapi?
Au ndo bize kazinii?
Usinambie toka juma tatu
Haufungagi Dukani, aaaaah
Nimeleta upendo
Nae kampenda nanii? aaah
Au kisa pendo kaolewa
Mi huniamini
Chorus
Ila nampenda mpendaaa
Naani wampenda
Ahhh mweupe
Naani wampenda
Ila nampenda mpendaaa
Naani wampenda
Ahhh mrefu
Naani wampenda
Hayaaaa
Yanaitwa mapenzi wee
Hayaaaa
Kuyafatilia huwezi
Hayaaaa
Yanaitwa mapenzi wee
Hayaaaa
Kuyafatilia huwezi
Verse Two
Ila zawadi hii nimekubebea
Chanuo tu na wigi lake
Upendeze ukitembea
Ongeza maringo walokuchukia
Wanyari tena uwacheke
Waone leo unavyofurahia
Nikumbushe doli doli
Waseme tumekua watoto
Waone upendo ulivyo
Tujikimbize poli kwa poli
Na michezo tucheze humo humo
Ama kweli mapenzi utoto
Chorus
Ila nampenda mpendaaa
Naani wampenda
Ahhh mweupe
Naani wampenda
Ila nampenda mpendaaa
Naani wampenda
Ahhh mrefu
Naani wampenda
Hayaaaa
Yanaitwa mapenzi wee
Hayaaaa
Kuyafatilia huwezi
Hayaaaa
Yanaitwa mapenzi wee
Hayaaaa
Kuyafatilia huwezi
B2K Nampenda Lyrics
ALSO, SING TO – Siogopi Lyrics – B2K