Home GENERAL Nane Lyrics – Team Ganji – New Song 2020

Nane Lyrics – Team Ganji – New Song 2020

by Louis
Nane Lyrics

Nane Lyrics – Team Ganji – Download Mp3 Audio

Hitmanting hitman ting
Badmanting badman ting

Cheki mirispe
imetosheaga mi nijigambe
Cheki ni keki
anafanyaga niskie vifunny
Cheki ni pongi
inatakaga watoto wanane

Nane
mkuje wanane(Nane)
Nane
mkuje wanane(Nane)

Nane nane nane(Nane)
Nane
mkuje wanane(Nane)
Nane mkuje wanane(Nane)

Cheki ngeus amechora namba nane(Uuuu)
Ngeus amechora namba nane(Uuuu)
Nane(Uuuu), nane(Uuuu)
Ngeus amechora namba nane(Nane)

Verse One

Nina mapoko ka wasita
Sijui nichape turi hadi iwike merry christmas
But chunga hapo utableki nikumangie your sister
Nimvalishe mangoto na huyo mtoi tumwiite Mister
Ju mi ni kula kula rungu yangu jo ni moto
Na bado systematically napenda vidosho
Na jana ulinishow ati uko na bash ya mapoko
Mangeus wamebundi hapo nyuma mtungi
Lakini sura mbaya kushinda mama wa soko

Nimekam na goshodo ka wanane
Hii kutu imenibeba leo lazima tuchapane
Na tuvixens tumebeba waitane
Tumekuja tena machizi na hiyo nane

Nane
ni nane nina
Nane ni nane nina
Nane
ni nane nina(Nane nane)
Nane ni nane nina(Nane nane)

Cheki mirispe
imetosheaga mi nijigambe
Cheki ni keki
anafanyaga niskie vifunny
Cheki ni pongi
inatakaga watoto wanane

Chorus

Nane
mkuje wanane(Nane)
Nane
mkuje wanane(Nane)

Nane nane nane(Nane)
Nane
mkuje wanane(Nane)
Nane mkuje wanane(Nane)

Cheki ngeus amechora namba nane(Uuuu)
Ngeus amechora namba nane(Uuuu)
Nane(Uuuu), nane(Uuuu)
Ngeus amechora namba nane(Nane)

Cheki ngeus amechora namba nane(Uuuu)
Ngeus amechora namba nane(Uuuu)
Nane(Uuuu), nane(Uuuu)
Ngeus amechora namba nane(Nane)

Verse Two

Nipee baruta si ni wanane
Nadai tu mmoja ainame
Nina money nikasese fiti nimpande
My honey niko high na kondiko shika upande
Kana ngwinyi nare nikanyande
Acha anyambe naidimbua naipakua
Kama mkulima na jembe naichambua
Naithukuma inaonja fiti ka thukuma
Ah cheki maitho kwanza mathiko
Anazidondoa nikipenya penya akidondoa
Mzee kende ka porn nikidondoka

Nane
ni nane nina
Nane ni nane nina
Nane
ni nane nina(Nane nane)
Nane ni nane nina(Nane nane)

Naskia
nikuje tena
Naskia
nifanye vitu
Naskia niteme tena vile nilitema pumpum
Cheki shape ya bojongo si aliteveva
Alikula kucha akidhani mi nitamweka
Kacheza tt ya Ssaru nikaidigi better
Ndio maana siku hizi nawataja na wanajileta

Chekini venye mi hutemanga vitu konki
Naskia hapendi sleepover ni — ka za wanga
Aliraushaga tena rungu buda unaskia ni drama
Itabaki kwa mbulu mi nawategea na Pama
Ah d– ni keki jo alifanyaga ni cheating
Na si kapi si unapendaga matiti
Ngeus ameweza amechoraga nane
Nane, nane

Cheki mirispe
imetosheaga mi nijigambe
Cheki ni keki
anafanyaga niskie vifunny
Cheki ni pongi
inatakaga watoto wanane

Chorus

Nane
mkuje wanane(Nane)
Nane
mkuje wanane(Nane)

Nane nane nane(Nane)
Nane
mkuje wanane(Nane)
Nane mkuje wanane(Nane)

Cheki ngeus amechora namba nane(Uuuu)
Ngeus amechora namba nane(Uuuu)
Nane(Uuuu), nane(Uuuu)
Ngeus amechora namba nane(Nane)

Cheki ngeus amechora namba nane(Uuuu)
Ngeus amechora namba nane(Uuuu)
Nane(Uuuu), nane(Uuuu)
Ngeus amechora namba nane(Nane)

Nane Lyrics Credit – Team Ganji

ALSO, SING TO – Wine Lyrics – Otile Brown – New Song 2020

Related Posts