Home NEWS Ng’ombe Kuku Lyrics Jeje Parody – Dogo Charlie – Official Lyrics

Ng’ombe Kuku Lyrics Jeje Parody – Dogo Charlie – Official Lyrics

0
Ng'ombe Kuku Lyrics
Ng'ombe Kuku Dogo Charlie

Ng’ombe Kuku Lyrics Jeje Parody – Dogo Charlie – Download Ng’ombe kuku by Dogo charlie

Ng’ombe wewe ni ng’ombe
Ng’ombe wewe ni ng’ombe
Ng’ombe wewe ni ng’ombe
Ng’ombe wewe ni ng’ombe wangu

Ng’ombe wewe ni ng’ombe
Ng’ombe wewe ni ng’ombe
Ng’ombe wewe ni ng’ombe
Ng’ombe wewe ni ng’ombe wangu

Ng’ombe relax si umeshiba
Ukiwa na njaa nitakulisha
Nitakupa majani utashiba
We ng’ombe my ng’ombe

Nataka kukukama
And your sweet maziwa nitakunywa
Ng’ombe wangu nataka kukukama
Hata kama mimi nguvu sina

Unipe kila siku, ooh ng’ombe
Mchana na usiku, ooh ng’ombe
Unipe maziwa
Nikunywe maziwa

Unipe kila siku, ooh ng’ombe
Mchana na usiku, ooh ng’ombe
Unipe maziwa ng’ombe
Wewe ng’ombe
Ng’ombe tulia nikukame

Kuku wewe ni kuku
Kuku wewe ni kuku
Kuku wewe ni kuku
Kuku wewe ni kuku wangu

Kuku wewe ni kuku
Kuku wewe ni kuku
Kuku wewe ni kuku
Kuku wewe ni kuku wangu

Jogoo ndo yule twende kwake
Ukipandwa usipige mayowe eti kwe kwe kwe
Kuku kwe kwe kwe

Na jogoo si upasepase usiogope mwewe
Siendi mbali na rungu iko ready
Si utwa twa twa
Kuku twa twa twa
Kuku mayai

Nimefurahi mumeninice nangoja mayai
Kuku mayai
I don’t wanna waste my time twende nyumbani
Utage mayai

Nitakula mayai fried
In the morning even night
Kuku mayai
Nataka utage mayai

Utage kila siku, ooh kuku
Mchana na usiku, ooh kuku
Utage mayai kuku mayai

Utage kila siku, ooh kuku
Mchana na usiku, ooh kuku
Unipe mayai, ooh kuku
Wewe kuku
Kuku mayai na utage

Ng’ombe wewe ni ng’ombe
Ng’ombe wewe ni ng’ombe
Ng’ombe wewe ni ng’ombe
Ng’ombe wewe ni ng’ombe wangu

Kuku wewe ni kuku
Kuku wewe ni kuku
Kuku wewe ni kuku
Kuku wewe ni kuku wangu

Ng’ombe Kuku Lyrics Jeje Parody Credit – Dogo Charlie

ALSO, SING TO – Yote Lyrics – Kelechi Africana – Official Music Lyrics

Leave a Reply