Contents
Nilikudanganya Lyrics – Kusah – Download Mp3 Audio
Verse One
Mmmm
Nisamehee
Nilikudanganya
Nilikutumia vikopa kusema nakupenda siyooo
Eti Rashidi kapiga saa sita usiku siyooo
Eti Chode kazidiwa leo nalala kwake
Maaana yuko peke yake
Mmmmm
Nilikudanganya danganya
Juzi nimetoka kukutenda
Nikakupost kwamba nakupenda
Nikazidisha penzi na madenda siyooo
Nakumbuka ulinifumania
Nikakataa nikakubishia
Nikalia nilikuigizia ni uongoo huoo
Nataka sa hivi niache upaka
Ntaka sasa hivi niweke mipaka
Nataka sasa hivi nitulieeeee
Na wewe
Chorus
Uongo huo
Ni uongo huo, Hallo
Uongo huo
Ni uongo
Uongo huo
Mara baby nakupenda
Ni uongo huo
Sitakuja kukutenda
Uongo huo
Nilikudanganya
Ni uongo
Verse Two
Muda mwingine niko na wewe
Alafu bado nachati nao
Rafiki zako uliyonitambulisha hao hao napita nao
Na ile pesa ulolilia katafuta nikakuletea
Walinihonga walinitumia pole
Chakula wanipikia
Wanipigia nakuongopea
Niko Guest waningojea tule
Baby nilikudanganya ndio
Aisha alinisave Juma ndio
Ooh nilifanya mengi ndio
Nisamehee
Nataka sa hivi niache upaka
Ntaka sasa hivi niweke mipaka
Nataka sasa hivi nitulieeeee
Na wewe
Chorus
Uongo huo
Ni uongo huo, Hallo
Uongo huo
Ni uongo
Uongo huo
Mara baby nakupenda
Ni uongo huo
Sitakuja kukutenda
Uongo huo
Nilikudanganya
Ni uongo
Nilikudanganya Lyrics Credit – Kusah
ALSO, SING TO – Mama Lyrics – Ben Pol Ft Goodluck Gozbert – Official Lyrics