Home NEWS Nisamehe Lyrics – Zuchu

Nisamehe Lyrics – Zuchu

0
Nisamehe Lyrics

Nisamehe Lyrics by Zuchu – Download Mp3 Audio

Verse One

Ayolizer

Kukuhini kusokwisha umeangukia pemani
Roho ya ni dadarika, kashantoka shetwani
Nimeumbiwa makosa, mwanadamu na mimi
Moyo umekunja ndita, nakumiss jamani

Ngumu safari ilifanya njiani ushukie
Ukakosa siti milika gari lako mwenyewe
Nikajiweka masharti nikajiona mi ndo mie
Kweli mbaya hali sina wema hakosi ye

Chorus

Nisamehe, Nisamehe
Nisamehe, Nisamehe

Verse Two

Chozi dibwi dibwi
Nachanganyikiwa na vilio sishikiki
Niko magharibi lizamapo juu
Wewe upo mashariki

Zawadi vipochi, vijisi vipipi
Nazimiss chocolate
Nimekwama dear nilivyonyongea
Huba zako sizipati

Tabibu, kunikomesha umepata toto la Kitanga
Sababu, umeichoka jeuri yangu ya Kipemba
Lile gugu, limeniisha kabisa baby hali nanga
Aibu, wananicheka wajinga rudi nakuomba

Ngumu safari ilifanya njiani ushukie
Ukakosa siti milika gari lako mwenyewe
Nikajiweka masharti nikajiona mi ndo mie
Kweli mbaya hali sina wema hakosi ye

Chorus

Nisamehe, Nisamehe
Nisamehe, Nisamehe

Verse Three

Nikikaa nawaza nimwingie kwa style gani
Nimlilie aseme nseme nina mimba, kasahau tisheti nyumbani
Nashindwa kujizuia, uvumilivu unanishinda kwanini
Nikimpigia kusudi zake, na akipokea

‘Ati Hello’ wewe nani iiiii,
namba kakupa nani iiiii,
Mara aah we kumbe wewe unafanya issue gani siku hizi
Mi msanii, anajua ina maana hanioni kwenye TV
Aah aii wewe, aah aiii wewe

Wasafi

Nisamehe Lyrics by Zuchu

ALSO, SING TO – Raha Lyrics – Zuchu

Leave a Reply