Contents
Nyamaza Lyrics – Fenny Kerubo Ft Rose Muhando – Download Mp3 Audio
Chorus
Nyamaza nyamaza, nyamaza nyamaza
Nyamaza nyamaza, nyamaza nyamaza
Takolera takolera kira
Takolera takolera kira
Kira kira, kira kira
Kira kira, kira kira
Oyomit, oyomit
Vuta machozi
Vuta machozi tabasamu
Jipe moyo, jipe moyo
Jipe moyo, jipe moyo
Oyomit, yehee
Verse One
Usilie, usilie, usilie, usilie
Vuta machozi tabasamu
Aah Vuta machozi tabasamu
Aah oyomit, oyomito, oyomito, oyomito
Atakolera takolera kira
Atakolera takolera kira
Kira kira, kira kira
Kira kira, kira kira
Takolera takolera kira
Usilie, usilie, usilie, usilie
Chorus
Nyamaza nyamaza, nyamaza nyamaza
Nyamaza nyamaza, nyamaza nyamaza
Takolera takolera kira
Takolera takolera kira
Kira kira, kira kira
Oyomit, oyomit
Vuta machozi
Vuta machozi tabasamu
Jipe moyo, jipe moyo, jipe moyo
Verse Two
—
—
Yesu yupo kwa ajili yako
Mbingu zipo kwa ajili yako
Mungu yupo kwa ajili yako
Alisema imekwisha imekwisha
Alisema kilio hakuna tena
Ona machozi hakuna tena
Bado tumaini Lipo Bado
Amani yako ipo Bado
Amani yako ipo
Bado uzima nawe ungalipo
Usilie, usilie, usilie
Usilie, usilie, usilie
Chorus
Nyamaza nyamaza, nyamaza nyamaza
Nyamaza nyamaza, nyamaza nyamaza
Takolera takolera kira
Takolera takolera kira
Kira kira, kira kira
Kira kira, kira kira
Oyomit, oyomit
Vuta machozi
Vuta machozi tabasamu
Jipe moyo, jipe moyo
Jipe moyo, jipe moyo
Yehee
Nyamaza Lyrics Credit – Fenny Kerubo and Rose Muhando
ALSO, SING TO – Mahabuba Lyrics – Masauti – New Song 2020