Home GENERAL Peke Yangu Lyrics – Enock Bella

Peke Yangu Lyrics – Enock Bella

by Louis
Published: Last Updated on
Peke Yangu Lyrics by Enock Bella

Peke Yangu Lyrics by Enock Bella – Download Mp3 Audio

Introduction Chorus

Heri niwe
peke yangu
Heri niwe
peke yangu

Heri niwe
peke yangu

Heri niwe
peke yangu
Heri niwe
peke yangu

Heri niwe
peke yangu
Usijeniua

Verse One

Kweli uzuri sio sura ma
Hata na tabia nazochangia
Nilikupa penzi kwa mikono yangu miwili
Wasema leo nakuigizia

Wataka zima penzi uondoke na mshumaa
Mbona ndio kwanza ninaanza kolea
Nimeandaa shamba na mbegu nikapanda
Waotesha magugu kwenye mbolea

Ee, eti unaondoka unaondoka unaondoka
Kuishi nami we huwezi umechoka
Nami nimevishindwa vyako vibwege
Sawa Sawa

Mara oooooh kwako nashoboka
Hutaki niseme na watu kwa kukuogopa
Umenivalisha vyeo vingi vya ulofa
Haiya haiya haiya

Mbona sivyo
Sivyo tulivyokubaliana
Uje unitese hadharani hadharani
Wanirudisha nyuma

Yakuwa tukifika mbele je kuniumiza moyo
Sivyo tulivyokubaliana
Ee, kupenda mimi basi
Wanirudisha nyuma

Bora iwe basi

Verse Two

Mwanzoni wa mazuri ila mwisho we ni utoto
Naogopa sana kutiana tumbo joto
Mbona nijitenge na mwisho nile chocho
Chocho msoto unizoee

Kwani umesahau ahadi ni hadi
Ya kuwa tukivuka mwaka huu ndoa
Hivi una nini hauna kusudi
Tatizo si kupenda ila mazoea

Eti unaondoka unaondoka unaondoka
Kuishi nami we huwezi umechoka
Nami nimevishindwa vyako vibwege
Sawa Sawa

Mara oooooh kwako nashoboka
Hutaki niseme na watu kwa kukuogopa
Umenivalisha vyeo vingi vya ulofa
Haiya haiya haiya

Mbona sivyo
Sivyo tulivyokubaliana
Uje unitese hadharani hadharani
Wanirudisha nyuma

Yakuwa tukifika mbele je kuniumiza moyo
Sivyo tulivyokubaliana
Ee, kupenda mimi basi
Wanirudisha nyuma

Bora iwe basi

Chorus

Heri niwe
peke yangu
Heri niwe
peke yangu

Heri niwe
peke yangu
Usijeniua

Heri niwe
peke yangu
Heri niwe
peke yangu

Heri niwe
peke yangu
Usijeniua

Heri niwe
peke yangu
Heri niwe
peke yangu

Heri niwe
peke yangu

Heri niwe
peke yangu
Heri niwe
peke yangu

Heri niwe
peke yangu
Usijeniua

Peke Yangu Lyrics by Enock Bella

ALSO, SING TO – Pipe Industries Lyrics – Harmonize

Related Posts