Home NEWS Pepo Lyrics – Masauti Ft Exray – New Song 2020

Pepo Lyrics – Masauti Ft Exray – New Song 2020

0
Pepo Lyrics

Pepo Lyrics – Masauti Ft Exray – Download Mp3 Audio

Genge la Bundoksi
Mmmmm
Taniua, Masauti
001, Kenyan Boy
Magix Enga on the Beat

Aah Niruhusu mi nikuite mummy
Ni yako mi sitaki ya nanii
God one mi nitasaka money
Ju ni nyuki mi nitachovya honey

Niko na feeling naeza fade
Jicho nyanya zinaweza raru ukinifail
Naughty girl tuende basi msitiri
Ijumaa ikifika sitableki mi nitaparty girl

Ama tuende msikitini
Leo niko kwa Ng’ang’a
Kesho kwa mganga uyo
Leo nitapagawa
Kweli nimepata huyo
Leo nitastagger
Kesi Maraga huyo

Umenishikisha pepo
Mapepo kwa penzi lako
Umenishikisha pepo
Mapepo kwa penzi lako

Umenishikisha pepo
Mapepo kwa penzi lako
Umenishikisha pepo
Mapepo kwa penzi lako

Umenishikisha pepo
Kila nikilala nakuota tu kwa ndoto
Akili ishakuwa mental
Nitakaye muona namuita jina lako

Kukupata we sitojutia
Wangu malikia mola mi kanijalia
Rhumba kizomba nitakuiimbia
Cheza ukinikumbatia wangu maridhia

Umenishikisha pepo
Mapepo kwa penzi lako
Umenishikisha pepo
Mapepo kwa penzi lako

Umenishikisha pepo
Mapepo kwa penzi lako
Umenishikisha pepo
Mapepo kwa penzi lako

Umenishikisha pepo
Mapepo kwa penzi lako
Umenishikisha pepo
Mapepo kwa penzi lako

Waka waka, waka
Kwenye kiza mama, waka
Kata kata, kata
Uwaonyeshe mama, kata

Daka daka, daka
Ka goalkeeper mama, daka
Waka waka, waka
Kwenye kiza mama, waka

Waka waka, waka, waka
We waka
Waka waka, waka waka
We waka

Daka daka, daka, daka
We daka
Waka waka, waka, waka
We waka

Pepo Lyrics Credit – Masauti Ft Exray

ALSO, SING TO – Yohana Lyrics Wambui Katee Sauti Sol Suzanna Cover 2020

Leave a Reply