Home NEWS Pita Nawe Lyrics – Jovial

Pita Nawe Lyrics – Jovial

0
Pita Nawe Lyrics
pita nawe by jovial

Pita Nawe Lyrics – Jovial

Pita Nawe, Pita Nawe

Verse One

Wananiita Komesha Roho Wakijigonga
Nawapa sabuni ya roho Wanapokoga
Wanakata sana pake Wamedata
Mbali nami hawasogei Wakishapata
Basi sogea nikuelezee
Mi mwenzako ni hoi
Yule wa kwako we mpoteze ei
Kwangu mi hatoboi

Nitakupa dishi tofauti
Utaipenda ladha
Nitakuchezesha bila buti
Sumakumaku ganda
Nitakupa dishi tofauti
Utaipenda ladha
Nitakuchezesha bila buti
Sumaku aaah

Chorus

Akisleki mi napita nawe, Akisleki mi napita nawe
Akisleki mi napita nawe
Pita pita pita
Akisleki mi na pita nawe
Pita pita pita

Pita Nawe Lyrics Verse Two

Akisleki mi napita nawe
Songa nikudatishe
Songa mi nikulishe lishe
Njoo nikupagawishe
Wengine uwapishe pishe
Penzi lake pamba
Upande wa kitanda

Wangu bado mshamba
Hajui kutamba
Ipi tui me nikupe mate eeh
Uitafune
Kwako nimejipa
Sina ujinga mi
Beiiby

Nitakupa dishi tofauti
Utaipenda ladha
Nitakuchezesha bila buti
Sumakumaku ganda
Nitakupa dishi tofauti
Utaipenda ladha
Nitakuchezesha bila buti
Sumaku aaah

Chorus

Akisleki mi napita nawe, Akisleki mi napita nawe
Akisleki mi napita nawe
Pita pita pita
Akisleki mi na pita nawe
Pita pita pita
Akisleki mi na pita nawe
Akisleki mi na pita nawe

Nitakupa dishi tofauti
Utaipenda ladha
Nitakuchezesha bila buti
Sumakumaku ganda
Nitakupa dishi tofauti
Utaipenda ladha
Nitakuchezesha bila buti
Sumaku aaah

ALSO, SING TO Take Over Lyrics – DENNO

Pita Nawe Lyrics Credit

JOVIAL

Leave a Reply