Quarantei Lyrics by Ethic – Download Mp3 Audio
Sanitizer
Sanitizer
Ah mi hukata makale
Naongeza na balee
Ka nina maganje
Juu niko quarantine
Quara, Quarantine
Kuara, Quarantine
Quara, Quarantine
Kuara, Quarantine
Eh, Boo hang kulikuwanga na corona
Busaa tukaisunda kwa muguka
Dunda tutacheza tu na distance
Dunda tutacheza tu na D
Ye hutoboa
Kamevuta koro
Ne umochoa kamedunga polo
Buda ng’oa poa utatoka ndong’o
Kumdondoa ka amedunga jongo
Ah mi hukata makale
Naongeza na balee
Ka nina maganje
Juu niko quarantine
Quara, Quarantine
Kuara, Quarantine
Quara, Quarantine
Kuara, Quarantine
Wengi wanakutaka nakutaka
Bro wangu anakutaka Maarifa
Hadi Bro wako anakutaka
Unaezapata hadi babako ye hukutaka
Ndio sasa niko hapa naomba namba
Sina hata bia kaza kamba
Zagwanda ulishaniganga
Tugeuzane Baba na Mama
Ah mi hukata makale
Naongeza na balee
Ka nina maganje
Juu niko quarantine
Quara, Quarantine
Kuara, Quarantine
Quara, Quarantine
Kuara, Quarantine
Nakupigianga fare natumanga
Alafu magizani jua nakumanga
Msupa wa kiwanga cheki amebebanga
Si kidimanga hawezi kipanganga
Baro ikiwaka pandisia hadi gaga
Fom kujipanga nitoke kwa dimanga
Mapenzi ni ya ulaya wa area ni malaya
Mapenzi ni ya ulaya wa area ni malaya
Ah mi hukata makale
Naongeza na balee
Ka nina maganje
Juu niko quarantine
Quara, Quarantine
Kuara, Quarantine
Quara, Quarantine
Kuara, Quarantine
Sani sanitizer
Buy sanitizer
Sanitizer
Sanitizer
Buy sanitizer
Sanitizer
Sanitizer
Quarantei Lyrics by Ethic
ALSO, SING – Lockdown Lyrics – Wakadinali – New Song 2020