Home GENERAL Rada Lyrics – Guardian Angel – Official Music Lyrics

Rada Lyrics – Guardian Angel – Official Music Lyrics

by Louis
Rada Lyrics

Contents

Rada Lyrics – Guardian Angel – Download Rada by Guardian Angel mp3 Audio

Ulivyo leo hiyo ni ya leo
Huenda kesho hiyo rada ibadilike
Matatizo uliyo nayo, ni ya leo
Hizo shida ulizo nazo, ni za leo
Huenda kesho hiyo rada ibadilike

Rada ibadilike, ulalalala
Rada ibadilike, ulalalala
Huenda kesho hiyo rada ibadilike, ulalalala
Rada ibadilike, ulalalala
Rada ibadilike, ulalalala
Huenda kesho hiyo rada ibadilike, ulalalala

Verse One

Wamekubandika majina
Waka kuitanisha na shida
Hawajui kunaye anayepeana majina

Hawajui na hawatahi jua
Ni nini  kesho mungu amepanga na maisha yako
Cha muhimu ni we kujitambuwa
Na usonge na radar yake

Hawajui na hawatahi jua
Ni nini  kesho mungu amepanga na maisha yako
Cha muhimu ni we kujitambuwa
Na usonge na radar yake

Chorus

Ulivyo leo hiyo ni ya leo
Huenda kesho hiyo rada ibadilike
Matatizo uliyo nayo, ni ya leo
Hizo shida ulizo nazo, ni za leo
Huenda kesho hiyo rada ibadilike

Rada ibadilike, ulalalala
Rada ibadilike, ulalalala
Huenda kesho hiyo rada ibadilike, ulalalala
Rada ibadilike, ulalalala
Rada ibadilike, ulalalala
Huenda kesho hiyo rada ibadilike, ulalalala

Verse Two

Wanakusema sema sana
We kazana usichoke kupambana
Yote ukimwaamini bwana
Story yako itabadilika

Walinisema ivo ivo ivo ivo Ona sasa
Story yangu imebadilika
Aliyefanya ivo ivo ivo ivo Kwangu mimi
Kwako pia atabadilisha

Chorus

Ulivyo leo hiyo ni ya leo
Huenda kesho hiyo rada ibadilike
Matatizo uliyo nayo, ni ya leo
Hizo shida ulizo nazo, ni za leo
Huenda kesho hiyo rada ibadilike

Rada ibadilike, ulalalala
Rada ibadilike, ulalalala
Huenda kesho hiyo rada ibadilike, ulalalala
Rada ibadilike, ulalalala
Rada ibadilike, ulalalala
Huenda kesho hiyo rada ibadilike, ulalalala

Rada ibadilike, ulalalala
Rada ibadilike, ulalalala
Huenda kesho hiyo rada ibadilike, ulalalala
Rada ibadilike, ulalalala
Rada ibadilike, ulalalala
Huenda kesho hiyo rada ibadilike, ulalalala

Rada Lyrics Credit – Guardian Angel

ALSO, SING TO – Hamida Lyrics – Kelechi Africana Ft Arrow Bwoy – Official Lyrics

Related Posts